Recent content by Sureboy0303

  1. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Bwana wale tunaodanganyana sijui oral et wanaangalia sijui ulivojibu unavojiamin sijui apearance nikuambie tu mule kuna panel nyingi sana kuna panel wao wana roho safi kabisa hawana hiana na kuna panel wanakunja sana hii interview nilijibu vizur sana kwa kujiamin sana kijana smart kabisa shat...
  2. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huu mfumo unaonesha mapungufu makubwa yaliyopo huko psrs kuna watu kibao wanadai hawakufanya oral lakin wameandikiwa passed and stored in data bank wengine tuliofanya oral haijaandikwa kitu ipo vile vile
  3. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sasa mbona wengine account zipo vile vile selected for oral interview tu yan kuna watu tuna gundu hata mabadiliko hayo tu hayatuoni
  4. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    HIZI PDF MAJINA MENGI SANA WANACHUKUA KWENYE DATA BASE HAPO KUJUA KAMA HIZO DATA BASE NI HALALI AU SIO HALAL NDIO PENYE SHIDA KUBWA
  5. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Pdf ya ijumaa iliishia interview za tarehe 18.8 ijayo itaanza kucover interview za kuanzia tarehe 19.8 ambazo ndio watu wengi walifanya na zilikua zinahitaji watu wengi mfano Naot walihitaji watu 121 hapo 21 wanaweza chukua kwenye data base 100 wakachukua kutoka interview wanaobaki na walifaulu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Lakin sasa hivi naona kama hawakawii sana kuita watu kwenye ajira baada ya oral interview mwezi mmoja tu kila kitu kipo hadharani
Back
Top Bottom