Recent content by Sure the Boy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Pamoja kaka ni wazo pia
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Nipo Ilala Kigogo kiongoz
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nategemea wazo lako muhimu

    Oky shukran ngoja nicheck
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nategemea wazo lako muhimu

    Aseee watu mbona mpo makini na neno tu 1 lililokosewa wakat yapo maneno zaid ya 50 amabayo yapo sahh, ahahah ama kweli kila kitu kna changamoto... Ila mpaka hapo nimeshajfunza kitu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nategemea wazo lako muhimu

    Pamoja
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Typing error ndg yangu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Ahahahahah haya bhana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Hamna mkuu, unajua kuna mtu anaweza kuja na kauli ambayo unaona kabsa hapa lengo lake sio kusaidia bali tu ni kudscourage na kuidilute point yako ionekane haina maana hata kwa wengne.. Sasa hii hupelekea kubadilisha mtazamo wa wengne juu ya mada husika.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Mkuu me sisom language, alaf hzo ni spelling error mbona
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Kubaki Main campus, uchumi ndo shida, ila nashukuru mkuu, na me lengo langu kuu ni kupata sehem ya kunipatia experience atleast..
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    I meant Likizo mkuu japo nachojua Sio kama hujaelewa hapo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu kwa hili

    Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa kinanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nategemea wazo lako muhimu

    Kaz ni kaz ila sijajua Mabox gan mkuu?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa keep nanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nategemea wazo lako muhimu

    Jaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo Likizo dar sina cha kufanya nipo tu, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, au hata experience.. Wakati huu wa Likizo.
Back
Top Bottom