Recent content by Superhuman 1995

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Na kamuharibia mwenzie maisha ya duniani, kwanini umuue kama hakupendi hakupendi tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Huo si uanaume ni ushamba
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Sasa kama umemgundua si umuache tu,kwanini umuue??,Kwanini umpe hela na unajua hakupendi?,si umuache kwani unapungukiwa nini
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Na ni ujinga kumuua mwenzako,kama hakupendi hakupendi tu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Kama mtu mmeshindwana si muachane tu kuliko kuuana
  6. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ILIWEZAJE KUTOA AJIRA ZA UALIMU KWA WATU WASIO WALIMU NA KUWAACHA WALIOSOMEA UALIMU ,PACHUNGUZWE

    Shida watu mnakurupuka pasipo kufanya research na ndio shida ya watanzania wengi,wanaendeshwa kwa hisia pasipo facts, issue ni hivi kunamasomo yalianzishwa yalikuwa hayana wataalamu wa kuyafundisha mfano kunashule wanafundisha masomo ya animal production,animal nutrition na kadharika,sasa walimu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Iran inaiogopa sana Israel.

    Njoo nikuoe uwe mke wa pili
  8. S

    JamiiForums Tanzania Iran inaiogopa sana Israel.

    Mbona unaongea kwa hisia na mapenzi sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Good life inaendana na standard ya maisha uliyopo ,huwezi kung'ang'ania standard ya maisha kama alivyoelezea jamaa hapo juu ikiwa bado unajitafuta hata kama upo katika standard ya kati ,huwezi kutoboa huo ndio ukweli
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kenya kuwafurusha machinga ni athari kwa nani?

    Kila mtu apambana na nchi yake
  11. S

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Hamna kitu kama hicho,hivi unatumia tu no saving,je utasave vipi ili ufanya investment au fedha itashuka juu ndio ufanyie investment??,wakati mwingine tukuwe kiakili tuachane na ulimbukeni pamoja na nonsense
Back
Top Bottom