Recent content by Superbrand

  1. Superbrand

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboresha mifumo ya upatikanaji wa taarifa za wagonjwa nchini

    Kupitia ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano na Habari, Tanzania imeweza kuunda mifumo ya usimamizi wa Taarifa za wagonjwa. Mifumo hii iliyoundwa bado kwa sasa imekuwa ina changamoto kubwa ambayo ni kuwa haisomani na kupelekea kutokuwa na Tija. Mgonjwa anaenda hospitali ambapo tayari ashawahi...
  2. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Sakata la CAG: Wabunge watano kufungua kesi kuitaka mahakama itafsiri mipaka ya CAG, mamlaka ya Spika

    Unataka kusema katiba na kanuni ipi ni sheria mama?
  3. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Wewe itakuwa gari lako tank limetoboka au ina kunywa mafuta mengi mno, anza kutumia Bajaji tu. Uza hilo gari
  4. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watoto wa kishua ambao wapo JF?

    Hahaha ila nawe ni mkongwe bado upo Active Jf?
  5. Superbrand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    Naomba njoo Pm please
  6. Superbrand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    Umepona??
  7. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Baada ya benki ya CRDB kusitisha mikopo, benki ya Posta nayo yasitisha

    Acha uongo wewe CRDB mikopo wanatoa
  8. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    Kama njia za kigaidi ndo zinafanya wafaulu nafikiri njia hizi ni nzuri sana
  9. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Mbowe asema wataoshindwa kuandaa maandamano ya UKUTA ya nchi nzima watakuwa wamesaliti wananchi wao

    Tutaanzia humu JF kuandamana hadi fb haki ya Mungu
  10. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

    Hakuna tatizo mara nyingi sana katika maisha hutokea,, unafikiri unaweza kuota huko kukoje? Kuna Tajiri mmoja aliwahi nambia najuta kuwa tajiri, unaweza ukadhani anatamania kila jambo lina faida zake na hasara zake, Ukizingatia Raisi huyu alikuja na moyo tofauti na mfumo uliopo. Mfumo ulikuwa...
  11. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Wahaya kwa sifa na hili pia alikuwa anajisifia kuwa hawezi kupewa kamshahara ka mil 5 kwanza amaeolewa na super bilionea sasa JPM kasema ukatumikie ndoa yako yeye anataka wazalendo wanaochukua hata hako kadogo, na bora katumbuliwa tu TAASIS ya uwekezaji ndo imeuza nchi hii
  12. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Kweli wewe wa ileje hapo umeongea nini
  13. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Nimekuuliza walipo susia bunge la katiba je tulipata katiba bora? Waliposusia uchaguzi wa Marudio Zanzibar je uchaguzi ulisimama? Tunafaidikaje na kususia hebu nieleze faida zake boss na sio kuunga mkono kila kitu tuache maslahi ya kisiasa tuangalie tunafaidikaje na siasa hizo.
  14. Superbrand

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Wakomae kwa hoja na wapigwee hii kali UKAWA nakuambia siwaelewi labda wewe kwa kuwa umeelewa utaniwakilisha ngoja nipate zero katika hilo
Back
Top Bottom