Recent content by super hero tz

  1. super hero tz

    Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

    Akili yake kisoda. JPM alikataa chanjo ya covid19.wazungu wakatumia raia kama hao kumlaumu,kua hana upendo na raia wake na tutakufa kama kuku. Leo hii baadhi ya majimbo kule U.S.A wanaenda kuuishtaki kampuni iliyo tengeneza chanjo ya covid19,kuwa walidanganya raia chanjo ilikuwa na madhara na...
  2. super hero tz

    Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

    Shida ya Biden ni afya imegoma kuendana na nia yake.tuludi kidogo kwenye fikra,tatizo sio kukaa madarakani muda mrefu,kama unasimamia wajibu wa wananchi wako hiyo hata ufie hapo sio tatzo. Mwandishi mmoja wa UK alimuuliza mugabe,nilini utatoka madarakani nae akamjibu"KWANZA KAMUULIZE MALIKIA...
  3. super hero tz

    Nawezaje kurestore akaunti ya Facebook iliyodukuliwa (hacked Facebook account)?

    Kuna account ilikuwa inatumia email ku login sasa hacker kaweka email yake ukitaka ku restore. Code znaenda kw hyo email.hapo nafanyaje mkuu
  4. super hero tz

    Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

    Muumini lazma anajua ratiba za Sara yake sio lazma aamshwe kama analazimishwa.anakuwa anaenda for show off. Ilakama ni siku ya ibada ijumaa au mahubiri sauti kwenda mbali sioni shida.nakuja upande wa imani nyingine kuna vizehebu kupiga kelele usku na mapambio kwanini msiweke sound proof.ila j2...
  5. super hero tz

    Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

    Inawezekana anaugonjwa wa afraid ya akiri usimlaumu bure.mpeleke hospital for more info and solution.
  6. super hero tz

    Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

    Nashauri na kutoa nafasi ya pekee safari ya kwanza ibebe wabunge wote kuwapeleka dodoma..... Huku wananchi kila jimbo waandae mashimo ya futi sita kama una D2 umenipata. Mtakuja kunishukuru baadae
  7. super hero tz

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Hii inaelezea upande wa pili wa uhasama juu ya Jews. Surah abaqarah 2:62 mbona hujanijibia
  8. super hero tz

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    surah al baqarah 2:62 Nipe ufahamu juu ya ihyo surah Al baqarah.
  9. super hero tz

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Kama uislam ulianza na Muhammad inamana alizaliwa na makafiri. Nani alibuni muundo wa ujenzi wa msikiti? Jamii aliyoikuta walikuwa wa dhehebu gani. Kwani ni lazima quran isomwe kwa kiarabu then mtu atafasiri mstari uleule alafu auchambue kwa lugha myingine.inashindikanaje iandikwe kwa lugha ya...
  10. super hero tz

    Hawa ni watu mashuhuri waliofariki lakini bado wanaishi midomoni mwa watu

    Aliuwawa na police wa taifa la Colombia siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
  11. super hero tz

    Namibia: Mahakama Kuu yasema Kuzuia Wapenzi wa jinsia Moja ni kinyume na Katiba.UN na Amnesty international Yapongeza uamzi huo.

    Bora lisu alijisemea mimi siingili faragha ya mtu.hehehe walimuuliza unaweza kuupinga ukipewa mamlaka.akaona huu mtego wakati akizngua bongo wao wanampa hifadhi. Unatakiwa kujiuliza saizi mtu wa upinde akitokea kwa nchi inayokataza hayo mambo.atapewa msaada wa weupe na kupewa makazi kwenye nchi...
  12. super hero tz

    Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    Kwa mtazamo wa haraka,waislam wanamtaja ismail.kwakuwa mama yake alitokea misri.mwenye ufahamu atajiongeza. Ingekuwa alizaa na mwanamke tokea Italy,China.ila sio nchi yeyote y kiarabu.hapo show ingekuwa nyingine kabisa.nadhani hata ibrahimu asingekuwepo kwenye quran.
  13. super hero tz

    TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    Wazungu bwana wako vizuri.wanasema ilimaisha yaendelee lazima Dunia isitulie.mkiwa na uongozi unaojitambua,wata wezesha wapinzani kwa gharama zozote ilikutikisa serikali, Serikali ikiluka hicho kikwazo basi wanakuja na mbinu ya kugawa pesa,kwa makundi ya hovyo ya poteze amani. Ilikutawala...
Back
Top Bottom