Recent content by Super Handsome

  1. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna Zoo ya kufuga Nyati?

    Unachanganya Nyati na Ng'ombe maji sijui takataka gani! Ila Mzee wa Ngwasuma hafugiki! Ile ngoma acha tu, kidogo initoe roho Lake Manyara..hakuna mdudu mkorofi, jeuri kama yeye! Wewe usipomuona sio issue yake ye anakuwinda! Unaweza kukaa umetulia kumbe anakulia timing, mnyama mnduku sana huyo...
  2. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Nimemfukuza kijana wangu nyumbani kwa kunijibu vibaya

    Abali .ntoto vako amelisi,,.fwakulisi gunazid i.muho.nsamehe aludi gumnyumbani
  3. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Nimemfukuza kijana wangu nyumbani kwa kunijibu vibaya

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  4. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Eli ya paasaka wakiliitu wote

    Hujamfuatilia, kuna siku sikupata usingizi kwa upuuzi wake na anafanya makusudi..nahisi namfahamu[emoji1] ni wa humu humu, mtu wa Tanga kuna kipindi alikuwa Bagamoyo! Ni jabali la Linguistic [emoji1] ana majibu huyoooo!
  5. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Eli ya paasaka wakiliitu wote

    Akili za mtoa mada naamini ni Tanzania 1, amejua kuchezesha madishi ya wachangia mada na mods, he has a very good sense of humor, nampenda sana ...nacheka mpaka nameza dawa[emoji1] huyu probably ni mwalimu[emoji1]
  6. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa Sukuma Gang wasipojitokeza na kutunisha Msuli watamalizwa wote

    Maviiii..haitokaa itokee! Mwendakuzimu alitaka after yeye aje Mwinyi..Then what happened? Ulijiuliza kwanini kifo cha mwendazake na maalim kina tofauti ya mwezi mmoja kamili? 21st Feb na 21march? Kumbuka walikutana Chato na Dkt Mwinyi akaenda soko la Mganza kwenye dagaa na vyuo vya Veta...
  7. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa Sukuma Gang wasipojitokeza na kutunisha Msuli watamalizwa wote

    Huyo kachanganya habari za wakoma na yule mwanamke aliyetendewa na nabii Elijah kama sikosei!
  8. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    Preg' Pseudo!
  9. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli Gaddafi alikuwepo Rondo Tanzania kabla ya kifo chake?

    Huko uliko pewa hizi taarifa rudi kawaulize vizuri..au mtafute 'Ima' atakueleza vzr!
  10. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    Ilala Bwn Ludigija kapelekwa kwao usukumani.
  11. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Mufti aagiza BAKWATA kuchunguza Mali zake zote zinazomilikiwa na Watu binafsi Kinyume cha Sheria

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwanini nimecheka kwa sauti..labda ulivo mu address Kakurwa[emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Naomba hili lililojitokeza Uwanja wa Ndege wa Entebbe lisije likajitokeza JNIA

    Hana lolote huyu nyauba anakaa kawe ukwamani, kapanga nyumba ya mzee mapupu! Hana maana..anakopa balimi Open Air na company yake kubwa ni Dkt Komba mtoa mimba maarufu[emoji23][emoji23] namsubiri aje!
  13. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Kukaa nyumba za bure ni umaskini tosha

    Unless kama hunywi pombe, zamani huku majeshini ilikua kila kitu bure..sikuhizi tangu JK apate mkopo wa zile nyumba ziko 2006 nadhani nchi nzima..unakatwa kwenye mshahara, unalipa bili zote..ni bora ukapange uraiani..Theres no free lunch in New York
  14. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Wapuuzi tu mmbwa hao
Back
Top Bottom