Recent content by super cup

  1. S

    Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

    Hakuna mistari yoyote kwenye biblia iliyosema ukristo ni dini
  2. S

    Surat al jini iliyotafsiriwa kiswahili

    Aliyetaka Surat Jinn hiyo imeshawekwa kazi kwake kusoma,
  3. S

    Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    Sheikh unawajibu vizur sana kwa hoja na maandiko, wanabaki kutapatapa nakutoa matusi bila maandiko yoyote. Kila andiko waliloomba umewapa....
  4. S

    Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    Katiba ya Nchi pia IPO kwenye softcopy,,Sasa chukua hardcopy ichome hadharani... By the way kuchukua Qur an au Biblia kuchoma maana yake ni kwamba ameidharau ndio maana watu wanaonyesha makasiriko yao kwa kuandamana.
  5. S

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mimi nimeagiza radio ya gari, dhl wanasema natakiwa kulipia ushuru...
  6. S

    Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

    Gari ni AWD, 2WD ?Ina seat ngapi?
  7. S

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Wewe umeahidiwa Nini bro... Ukute huna ulichoahidiwa ndio maana unaruka ruka tu...
  8. S

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Alipo kuwa anakunya na kukojoa Adamu kabla hajatenda dhambi na Sisi tutakunya na kukojoa hapo hapo Narudia Tena Peponi tutaishi kama binadamu kula na kunywa nikama kawaida Kwa sababu Mungu ametuumba kwa umbo lililobora kabisa kuliko kiumbe chochote kuwahi kutokea, malaika wenyewe wanasuburi.
  9. S

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Okay wewe kwa mujibu wa Mungu wako amekuahidi nini ukifika mbinguni kama binadamu Ukute unapambana kuishi kwa Imani nzuri afu huna ahadi yoyote mbinguni . Eti unaahidiwa ukifika mbinguni utakuwa unaimba...Sasa wewe kama binadamu kuimba ndio starehe yako ni kitu kinachokuvutia hicho.
  10. S

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Kwani Eva aliubwa Ili Adamu amfanyaje kama siyo kumpiga miti, kula na kunywa kwa pamoja. Kwa hiyo unahisi ukifika mbinguni utaishi kama malaika...bro wewe binadamu huwezi kuwa malaika...mbinguni utakula na kunywa
  11. S

    Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

    Mungu analindwa kwa kuwa Kuna historia Mungu alipigwa na wanadamu akafa wakamzika...Ili awasamehe dhambi zao...
  12. S

    Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Jibu swali Mbinguni utaimba kwa kutumia lugha gani? Kama hujui lugha utakayotumia ndio unafundishwa kuwa utatumia kiarabu! Na kama ukibisha kuwa siyo kiarabu Lete andiko linaloonyesha lugha utakayotumia kuimba nje ya kiarabu?
  13. S

    Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Hadithi yako inachekesha sana...
  14. S

    Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Muulize aliyewaambia atawapeleka mbinguni mkaimbe ...Muulize mtatumia lugha gani?
  15. S

    Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Kwa mujibu wa Biblia mbinguni mtakuwa mnaimba kwa kutumia lugha gani
Back
Top Bottom