Recent content by Super Brain

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ishu siyo mshahara, ishu ni plan

    Kabisa maana kama unajaribu Mara mbili Mara tatu mwishowe unakamatia hasa na kujikuta faida zinaflow.Kama hauko tayari kufeli na ukajaribu tena huwezi toka.Yani ukianguka unatakiwa kufikiri chanya na kufikiria ni kipi umekosea ni wapi ujaribu unapozidi kujaribu ndo unakuta unapata kitu kizuri zaidi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ishu siyo mshahara, ishu ni plan

    ,Du,noma sana billionea
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

    R.I.P
  4. S

    JamiiForums Tanzania ASILIMIA 90% YA WAHITIMU WALIOFANYA VIZURI (TOP PERFORMERS) SHAHADA YA KWANZA NI JOBLESS

    Ndiyo maana nimekataa kusoma masters mpka niitumie kwanza hii degree yangu niridhike wanawaza kuwezeshwa kweli hao ni zero mind.Vyakufanya vyoteeeeee wao wanawaza kupewa ajira dah!Haya majipu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tukihit 8% ya ukuaji wa uchumi; Kenya, UG & Co. bye bye!

    Mh aise kuna watu ni negative mind kabisa,they just blaming all the time.As if wanajua kila kitu.Mtoa mada umeongea vema.Kuna watu kuthink positive ni kazi.They just play blaming game
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Naunga mkono hoja,asiige ujamaa ila baadhi ya Sera za China.Akiziintroduce Bongo nani ataiba na kazi zitafanyika. Ndiyo tunahitaji bunge live lakini uchumi ndiyo hoja ya msingi.Watanzania wanalia na umasikini ishu live weng hata hawajishughulishi nayo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania JPM never surrender to the negative noise

    Kwanza pole mheshimiwa.Nakupongeza kwa kazi uliyoanza na ninakupa nguvu ya kuendelea.Changamoto ni nyingi ikiwemo kutoonyeshwa live bunge.Tuna haki na hili naamini kwasababu uko kwaajili ya watanzania ili usishushe hadhi yako soon tutaanza kuona live kwani ni wakati muhimu wa budget na budget...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari Rais Magufuli akaingia katika mtego wa ufisadi unaomuhusisha yeye mwenyewe

    JPM go,go go never surrender to the negative noise
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda na walio wengi wenye kutaka kufuatilia bunge live

    Mi niongezeeni mshahara tu na inueni uchumi kama ishu ya binge nyie tazameni tu.Japo najua Nape hajawa fair
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magu ina nyota inang'aa , speach ya PM ingekuwa enzi za JK! Mmmmmmh

    The truth will never fail.JPM mtamwelewa tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Da,mimwenyewe nimeplan kati ya biashara hii duka la kompyuta na simu kuna mwana kafungua anasema inamtoa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya simu

    Hellow mambo vip wenzangu,naomba kupata mawazo na ushauri kuhusu biashara ya simu na mtaji unaohitahika.Nahua wapo wenye experience humu ndani
  13. S

    JamiiForums Tanzania KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

    Mi nilikuwa CDM damu Lowasa wenu ndo kanifanya nisiwaamini,mi nilikuwa siambiliki kuhusu M4C
  14. S

    JamiiForums Tanzania KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

    Au siyo!Nimeipenda sasa kazi site zipo hazipo zipo na majipu yanatumbuka,kuna nini sasa!Naona hoja yao ya ufisadi imekwisha now wanazungumzia utawala bora..... Wanataka kuturudisha kwa Jakaya
Back
Top Bottom