Super Brain
Member
- Apr 17, 2016
- 45
- 38
Kwanza pole mheshimiwa.Nakupongeza kwa kazi uliyoanza na ninakupa nguvu ya kuendelea.Changamoto ni nyingi ikiwemo kutoonyeshwa live bunge.Tuna haki na hili naamini kwasababu uko kwaajili ya watanzania ili usishushe hadhi yako soon tutaanza kuona live kwani ni wakati muhimu wa budget na budget inapendeza tukiona live.
Sioni sababu ya kusema unaogopa bunge la live wakati unakamua majipu na viongozi wa chini yako wanajipanga bila kusukumwa.
Staili ya uongozi wako ni ya aina yake hapa Afrika.Siri ya mafanikio ni kutoogopa kwani wazungu husema:
"Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe"
Kumbe basi ukiogopa hutatenda jambo ulilokusudia kufanya.
Nyerere,Mandela,Kwame Nkruma,Abraham Lincoln,John F.Kennedy na viongoza wengine mashuhuri duniani waliangalia haki iko wapi na walitenda wanachokiamini kwa ujasiri.
Hakuna mafanikio bila machungu.Kumbe basi walikwepa urafiki wakatenda haki.
Naamini ukiwa serious katika unachokiamini na kukisema unaweza kulifanya taifa hili kuwa na nguvu kiuchumi afrika.
Mawaziri wako pia unafaa kuwatumbua wanapofanya mambo ya kijinga kama Nape aliyetuingiza kwenye mjadala usio wa lazima(Wa kijinga).
Bunge kuwa live hakuwezi kuathiri chochote kama unatenda haki na unachapa kazi na unatumbua majipu kwa kasi.
Usibabaishwe na kelele we tumbua peleka taifa mchakamchaka hadi tuisome.Hakikisha tunafuata vision yako na nchi inakaa kwenye mstari.
Nchi hii imepata mtu tuliyemuhitaji kwa muda mwafaka.
Uliomba kazi umepewa kazi,fanya kazi kama kazi usiteteleke kwenye kazi endeleza kazi tena kwa kazi,hapa kazi,pale kazi na kule kazi,humu kazi kila mahali kazi hakika taifa litakwenda faster na vile hata Kenya wameanza kuogopa kuwa tutakuwa taifa imara afrika mashariki na kati.
"No one will do for you but you"