Recent content by supasonic

  1. supasonic

    JamiiForums Tanzania Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Watapandikiza virutubisho vyenye kuchochea upinde
  2. supasonic

    JamiiForums Tanzania Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

    Hawa wahuni wahasiwe, wakatwe dyudyu zao bila ganzi, wanyonyolewe vinyweleo vyao kwa pryse, wakatwe kiungo kimoja kimoja hadi wafe.. Bladifaken kabisa
  3. supasonic

    JamiiForums Tanzania Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

    Utaniuliza dhambi ninini? Dhambi ni tendo lolote lile ambalo lina madhara kwako na kwa wengine, linaharibu moyo na kutibua fikara, linaleta matokeo hasi na mambo yote ya jinsi hiyo.
  4. supasonic

    JamiiForums Tanzania Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

    Tafuta hela mwanamke haongwi kwa elfu 10
  5. supasonic

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa amenivunja moyo wa kujitolea

    Jamaa akalia sana sana..daah nikaona sasa hii ni kelo na kuondoa kelo..kishingo upande sana nikampa nusu tena kwaiyo ikawa pesa imekamilika aliyohitajii..jamaa akashukuru sana akaondoka ila nikamsisitiza sana kuwa hiyo pesa niliyomuazima ni ya watu hivo kesho ajitahidi kurejesha..jamaa...
  6. supasonic

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

    Vitu vyote vimepanda bei kasoro mishahara tu.
  7. supasonic

    JamiiForums Tanzania Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

    Mvua imenyesha kweli aisee
  8. supasonic

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

    Mrudishe kwa baba yake, kama shida ni msaada, wewe watumie hela ili akasome huko huko kwa baba yake
  9. supasonic

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Kichwa utadhani cha enzi za mkoloni Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  10. supasonic

    JamiiForums Tanzania RC Makalla asema amechoka kusikia ajali za moto katika Mkoa wa Dar

    Na sisi tumechoka kusikia habari za moto
  11. supasonic

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 200,000 wanaoishi na VVU hawatambui hali za Afya zao

    Mkuu, ukienda hospitali hata kupima malaria, pale maabara wanachukua sampuli yako ya damu wanakupima malaria na UKIMWI bila ya wewe kujua. Kisha watakupa majibu yako ya malaria tu na hizo taarifa za kuathirika wanazihifadhi kwaajili ya masuala ya takwimu kama hii taarifa ya watu 200k wasiojijua...
  12. supasonic

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    Watu wakiacha magari yao nyumbani usafiri wa umma hautaweza kutosheleza idadi ya watu walioacha magari yao. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom