Wanataka wawe na uhakika kuwa watu wengi wanakubaliana na ushoga ndipo wajiachie kwa raha zako.
Ndiyo maana wanakuja huku mitandaoni kupima mzani kwa gia ya kuukashifu mchezo wao pendwa.
Nimegundua humu kuna watu wanaleta nyuzi za kupinga ushoga (ilihali wao ndio mashoga) ili wajue asilimia ngapi ya watu wanachukia ushoga.
Wanapiga tu kina Cha maji kwa kidole, si kwamba hawapendi ushoga 😂😂
Wanasaikolojia tumeshaligundua hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.