Recent content by Suns

  1. S

    MFANYAKAZI WA MGAHAWA ANAITAJIKA ARUSHA

    anahitajika wa kike
  2. S

    MFANYAKAZI WA MGAHAWA ANAITAJIKA ARUSHA

    kama kicha kinavyojieleza apo juu mfanyakazi awe mzoefu anayejua kupika vitafunwa na chakula kwa ajili ya mlo wa mchana na jioni,awe mkarimu kwa wateja na msafi.NB ni mgahawa mdogo ,malipo tutalipana kwa siku .pm kwa mawasiliano zaid
  3. S

    Hatua gani za kisheria nizifanye ili kuhalalisha cheti hiki

    Wanasheria naomba msaada wenu vyeti vyangu kuanzia cha kuzaliwa mpaka sekondary nimekuwa nikitumia majina mawili yan jina langu na la ukoo ,lakini cheti chanu cha college kina majina matatu yani na jina la kati ,nifanyeje ili kuhalalisha icho cheti kuwa ni changu?
  4. S

    Natafuta kazi ya hotel

    Asante kwa ushaur
  5. S

    Natafuta kazi ya hotel

    Sikuelewi ndugu
  6. S

    Natafuta kazi ya hotel

    Mimi ni msichana wa miaka 22 Nina certificate ya hotel management, nipo Tayar kufanya kazi mkoa wowote nipo vizur kwenye department zote za hotel .asante
  7. S

    TV na stand Vinauzwa A

    Aya poa Nenda kanunue iyo stend ya 15
  8. S

    TV na stand Vinauzwa A

    Karibu
  9. S

    TV na stand Vinauzwa A

    Iyo Ni fixed aipungui apo
  10. S

    TV na stand Vinauzwa A

    OK poa nakutumia
  11. S

    Vinauzwa arusha TV na stand

    TV nchi 26 bei 300,000. Stand bei100,000 vipo arusha kwa Morombo
  12. S

    TV na stand Vinauzwa A

    TV na stand Vinauzwa arusha ,TV Ni nchi 26 bei sh 300,000 na stand sh 100,000,vipo kwa morombo
  13. S

    Wanaume tabia hii vipi?

    Asante Sana nimejifunza kitu kutoka comment yako
  14. S

    Wanaume tabia hii vipi?

    Guys at least inabid mtu aonyeshe kujali as mko pamoja kwa malezi Sio majukumu yote Ni wew Hadi Unapata msongo wa mawazo sababu masaa 24 huna mtu wa kukupokea, inauma Sana kuona swala la malezi Ni lako peke yako wababa hawana Hata muda wa kushuudia maendeleo ya watoto
  15. S

    Wanaume tabia hii vipi?

    of Acha kutetea ujinga
Back
Top Bottom