Recent content by sungusungu

  1. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Mtu akifa hana tofauti na mzoga wa mbwa.Hata asingezikwa ni sawa tu.
  2. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Nilichagua marafiki wabaya nikiwa shule
  3. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Nilitapeliwa kwa kusomesha mtoto wa kike eti nitamuoa,niliishia kulia tu
  4. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Capt. Ibrahim Traore: A Slave who does not rebel doesn't deserves Pity

    Lumumba alikuwa na tatizo gani?
  5. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Mkuu ndizi za hapo Kiabakari bado zinapatikana?
  6. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Wenye mabasi luxury acheni wizi

    Wewe ni Nguruwe? Acha generalization.
  7. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Wenye mabasi luxury acheni wizi

    Acha madharau
  8. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Wenye mabasi luxury acheni wizi

    Acha kulazimisha vitu kila abiria hawezi kutumia choo.
  9. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Wenye mabasi luxury acheni wizi

    Huduma ya choo ni pamoja na haja kubwa.Mimi huwa naogopa kuvitumia kwa sababu ya usafi wake ni duni sana.
  10. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Wenye mabasi luxury acheni wizi

    Bado kuna mabasi ya 2 by 3? Kiafya inampasa mtu anye mara 3 au 2 kwa siku,Sasa wewe pitisha siku bila kunya au kunya mara 1 kwa kudhani ni ukisasa utajuta baadaye maishani.
  11. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Uongo mtupu eti kutoka ziro ziro hadi Bunda ni Pori tu.Wewe mtoa post pia ni mutu wa hovyo hovyo tu.
  12. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti Nusura wasema kwamba Mtoto wao hakufia kwenye ajali ya Dugange

    Aisee ile incidence ya Dito ulikuwa ni ubabe tupu
  13. sungusungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto alalamika namna viongozi kutoka mataifa ya Afrika wanavyotendewa wakiwa Ulaya na USA

    The problem with African Leaders can't say NO before the Europeans,they are always YESIST.
  14. sungusungu

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mkuu huyo shoga ana pesa nyingi za kutupa namna hiyo?
Back
Top Bottom