Wenye mabasi luxury acheni wizi

Wenye mabasi luxury acheni wizi

Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.

Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
wizi kivipi?
 
Tatizo nabishana na wajinga na wezi wasiojua maana ya choo.choo ni kwa haja zote.tulioishi ulaya tunajua maana ya choo kwamba ni haja zote.mbona kwenye ndege hakuna hizo restriction ya aina haja kubwa au ndogo kwenye usafiri.mischojua ni kwamba wenye hayo mabasi wanakwepa garama za kufanya usafi.mabas hayo hayo ya kichina hapo nairobi tu unapata huduma zote za choo.nikae najibana kula kwa faida yako ukwepe garama za usafi.

Kuanzia leo ukiingia kwenye basi lolote lenye choo wala usiulize wewe achia haja zako.wakikughasi washtaki mimi ni wakili mzoefu nitakutetea.Tanzania kuna mambo ya ovyo.mno.

Kwa hili tunaomba msimamo wa LATRA
Kunya tu mkuuu,siyo kosa wakikuzingua kanye kwnye dashboard kwa dereva!!
 
Kwahiyo unataka kunyakunya njia nzima?

Ukisafiri hakikisha huli vyakula zaidi ya maji, juice, biscuit na crips.

Hivi unashindwa vipi kuvumilia kula vyakula kwa masaa 8 mpaka 12?

Huduma ya mkono ndio muhimu zaidi, lakini ikitoka kwa dharura tumbo limezinguwa hivyo vyoo unatumia.

Halafu bei ya luxury siyo kwa sababu ya huduma ya vyoo Bali ni ile comfortable ya two by one na kunyoosha miguu space ni kubwa.
Bado kuna mabasi ya 2 by 3? Kiafya inampasa mtu anye mara 3 au 2 kwa siku,Sasa wewe pitisha siku bila kunya au kunya mara 1 kwa kudhani ni ukisasa utajuta baadaye maishani.
 
Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.

Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Huduma ya choo ni pamoja na haja kubwa.Mimi huwa naogopa kuvitumia kwa sababu ya usafi wake ni duni sana.
 
Tatizo nabishana na wajinga na wezi wasiojua maana ya choo.choo ni kwa haja zote.tulioishi ulaya tunajua maana ya choo kwamba ni haja zote.mbona kwenye ndege hakuna hizo restriction ya aina haja kubwa au ndogo kwenye usafiri.mischojua ni kwamba wenye hayo mabasi wanakwepa garama za kufanya usafi.mabas hayo hayo ya kichina hapo nairobi tu unapata huduma zote za choo.nikae najibana kula kwa faida yako ukwepe garama za usafi.

Kuanzia leo ukiingia kwenye basi lolote lenye choo wala usiulize wewe achia haja zako.wakikughasi washtaki mimi ni wakili mzoefu nitakutetea.Tanzania kuna mambo ya ovyo.mno.

Kwa hili tunaomba msimamo wa LATRA

Mkuu Gloria,
Very sorry kwa kadhia hiyo, uko sawa kabisa kwa uelewa na status ya basi la luxury.

Ila sasa nikukumbushe tu kua kwa Tz regulatory bodies zetu nyingi ziko usingizini wakiwaachia service providers kujifanyia. Sidhani kama latra kuna jambo watafanya kwa case kama yako.
 
Back
Top Bottom