Recent content by Sunehri

  1. Sunehri

    Question- wasukuma and Love relations

    Mi ninae wangu ananipenda had basi, msikivu, anajua kujali sasa ndani ya 6 by 6 ndo usiseme ila sasa ananishangaza na vjumba vdogo maana ana kila dalili kuwa anavyo
  2. Sunehri

    Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

    Dah nimeweka jana ya 30 duu!! Eeeh Mungu niepushie hlo balaa
  3. Sunehri

    Unamkumbuka Amrish Puri??

    Zama hz hakuna km yeye na alidead 1995. Was Katili babkubwa in movies
  4. Sunehri

    Unamkumbuka Amrish Puri??

    Sio Roha ni Loha
  5. Sunehri

    Erolink yamtunishia misuli Waziri Kabaka

    Wanalipa watoto wa watu 270000/= yaan ni waonevu sana wahindi hawa yaan watu wanaonewa nchini mwao,serikali nayo iamke jmn
  6. Sunehri

    Erolink yamtunishia misuli Waziri Kabaka

    Jaman kuna hii inaitwa Ison ipo customer care ya airtel na Tigo yaan wenyewe ndo hawana hata mpango wakucomply na leo wanapamba tigo customer care wanasherehekea kutimiza miaka 2!!!
  7. Sunehri

    Kuna yeyote anaejua mwisho wa ile Bank ya nyumba

    Ooh ahsante mkuu. Nami tatizo ni hilo la hati. Je kuna anaejua procedures za kufuata?
  8. Sunehri

    Kuna yeyote anaejua mwisho wa ile Bank ya nyumba

    Ahsante mkuu kwa taarifa ngoja niitafute hiyo TIB nao nijue wanamajibu gani
  9. Sunehri

    Kuna yeyote anaejua mwisho wa ile Bank ya nyumba

    Habari wakuu wa jf. Naombeni msaada kuna ueyote anayefahamu mwisho wa ile bank ya nyumba ( THB )? Kazi zake ziliachwa chini ya mamlaka ipi?
  10. Sunehri

    Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

    Yaan kwakweli ni uonevu. Ipo kitu inaitwa Ison na miez minne ilopita ilikuwa ikiitwa Spanco ambayo inaajiri kwa ajili ya Tigo na Airtel. Yaan hii watu tunateseka jaman yaan mnagawana na muhindi ye anachukua robo tatu we unapata kanakobaki. Ni waonevu sana ss sielewi hili fagio na kwao inabidi...
  11. Sunehri

    Uwakala m-pesa na tigo pesa

    Upo mkoa gani?
  12. Sunehri

    Tatizo la Gari yangu kukata kiuno

    Check rim zaweza kuwa zimepinda. Fanya wheel alignment na balance pia waweza jua tatizo, nilishapata tatizo km hilo na nilipofanya haya tatizo likawa ni rim
  13. Sunehri

    Ajira ngumu naombeni kazi jamani ata kwa mshahara wa laki na nusu

    Kuna kampuni yaitwa Spanco ina outsource watu wa customer care for tigo na airtel. Jaribu kupeleka cv huwez jua ingawa sio utaalam ulosomea waweza kufanya kwa muda ukifaulu interview huku unaendelea kutafuta
Back
Top Bottom