Recent content by sundoka

  1. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    31B2EB3 3C7640B BETPAWA Acha tujaribu tuone
  2. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa si uweke code ili iwe rahisi kupunguza mechi unazoona ni ngumu mkuu??
  3. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nimeikuta zimebaki timu 49. Zimekubali zote kasoro moja ya Besikitas nayo imeahirishwa. Asanteni sana waunhwana kwa kushea codes[emoji122][emoji122][emoji122]
  4. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnakataa kushea codes, mkishaliwa mnaleta mascreeshort yenu ili tulie pamoja. Shenzeeee[emoji57][emoji57]
  5. sundoka

    Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

    Wajenge uwanja wa ndege wa maana Bukoba. Waache kuendekeza ukabila na chuki dhidi ya watu wa Kagera. Kauwanja ka ndege kamebana mji wote na kapo mjini katikati, wamelazimisha hadi kamegawanya mji katikati, huwezi kwenda upande mwingine mpaka uzunguke. This is shame. Alafu baadae mnakuja...
  6. sundoka

    Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    Ila twende mbele turudi nyuma Sure Boy ni noma[emoji122][emoji122][emoji122]
  7. sundoka

    Tukatae, tukubali Tanzania Bado inahitaji Rais kutoka Kanda ya Ziwa!

    Bahati mbaya sana uliyemnukuu na kumtolea mfano nae ni wa Kanda ya ziwa. Hebu ona aibu basi[emoji13][emoji13]
  8. sundoka

    Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

    Tupe andiko la biblia linalosema mwanaume akioa wanawake zaidi ya mmoja ni dhambi. Nasubiri hapa
  9. sundoka

    Kwanini lawama zangu zote kwa huu ukame mkubwa unaoenda kuikumba Tanzania nazipeleka kwa Rais na Makamu wake?

    Kyoma naiwe oli wa nkaa si? Kwani anapolalamikiwa makamu wa Rais, kipindi kile cha Magufuli nani alikuwa makamu wa Rais? Kutetea uovu ni kazi sana[emoji2][emoji2]
  10. sundoka

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    HER PENIS???? WTF[emoji35][emoji35][emoji35]
  11. sundoka

    Je, nimuache au nimvumilie?

    Bila shaka atakuwa amelelewa na single mother. Narudia tena kutoa ushauri usijichanganye kuoa mwanamke aliyelelewa na single mother. Kwa.maneno mengine usioe mwanamke ambae mama yake ni single mother. Ukibisha shauri yako
Back
Top Bottom