Tupo mm n Mwalimu nafundisha Secondary-Kahama, csee nilipata div3 point 22, Acsee nilipata div2 point 10, BA(ed) ya DUCE nina Upper second with honors! Sasa hii hoja ya ualimu n chaka la waliofeli linahusu walimu wa ngazi IPI? Kama n primary yawezekana kabsa wapo waliofel wanafundsha huko...