Recent content by sunchez

  1. S

    Nitawezaje kununua Hisa za makampuni yaliyosajiliwa DSE, kama nipo mikoani

    Offer yako hisa za Vodacom ni ipi na ziko ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    MAKTABA TETEA: The Home of NECTA Past Papers

    Nzuri sana , hongera maktaba tetea, OMBI LANGU WANGEANZIA MTIHANI WA DARASA LA 4
  3. S

    Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

    Ntashukuru sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

    Karibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Kilimo cha pilipili

    Pilipili Mbuzi unaotesha mbegu kwenye kitalu kisha unahamisha shambali na yaratibu zingine zinafuata ni hatua nyingi mie nalima lakini kwa msaada zaidi watafuye KILIMO MAARIFA wanayo miongozo mizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

    Habarini wakuu na samahani kwa kuchelewa kujibu nimeulizwa UGUMU na URAHISI wa KILIMO cha Pilipili Mbuzi well, ugumu kwa Mimi nilioupata ni sikupata mwongozo mzuri wa mfumo wa umwagiliaji na hii ni kutokana na mtaji mdogo maana plan ya umwagiliaji inahitaji pesa kwa wataalamu hili kina niumiza...
  7. S

    Msaada kilimo cha hoho

    Kweli ni tofauti Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Msaada kilimo cha hoho

    Mbegu inayo pendwa ni ile inayo nukia, mbolea na madawa wasiliana na KILIMO MAARIFA watakupa muongozo wote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Msaada kilimo cha hoho

    Kupanda anza Kupanda mwezi 3 SHAMBANI ili mwezi wa 6 uanze kuuza, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Shukrani kwa mchango wako bro Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  11. S

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Wadau naomba muongo kwa mwenye kufahamu kuhusu biashara ya cement mtaji wake, Faida yake, changamoto zake, na mbinu za ufanyaji wake na je ina faa kwa MTU mwenye mtaji mdogo wa 3m? Msaada please Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  12. S

    Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

    Yes mkuu Jana nimecheck kigogo sambusa na leo alfajiri tumefanya biashara hivi sina mzigo tena.
  13. S

    MALI MPYA MALI MPYA IKO SHAMBANI

    Ahsante mkuu mungu atusimamie
  14. S

    Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

    Zaidi ya 2m mwanzo mgumu
Back
Top Bottom