Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

Habarini wakuu na samahani kwa kuchelewa kujibu nimeulizwa UGUMU na URAHISI wa KILIMO cha Pilipili Mbuzi well, ugumu kwa Mimi nilioupata ni sikupata mwongozo mzuri wa mfumo wa umwagiliaji na hii ni kutokana na mtaji mdogo maana plan ya umwagiliaji inahitaji pesa kwa wataalamu hili kina niumiza sana hivi sasa kwa kuwa napoteza Mafuta mengi sana ktk umwagiliaji, ugumu mwengine ni masomo kama kawaida kilio cha wakulima na gharama za usafirishaji, otherwise mambo mengine sio mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwa mafanikio yako makubwa Mkuu.

803a13af352029642c2d1411d608e2e8.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom