Kweli JF inapoteza ladha.. Kipindi kile miaka ya nyuma hapakuwemo hawa wapuuzi.. Ndo umeongea nini sasa... Mtumishi wa umma sio mzalishaji ni mtoa huduma.. Sasa ulitaka azalishe sh ngp kwa kufundisha au kuchoma sindano.. Dah.. Ningekua mod ningewafungia account watu kama hawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.