Recent content by sunak90

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    Achana na mavitu ya ajabu ndugu utapoteza uwezo wako acha majinga yapeane
  2. S

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda kwa haya Jitafakari

    Mwanathiiiiiiimbaaaaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

    Kwani ndug zetu Huwa Wana shida Gani kichwani?
  4. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe afika Mbalizi kuwaombea Kura Wagombea wa CHADEMA

    Utapel ni kitu kibaya sana hapo wanawaza watawaambiaje wananchi
  5. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe afika Mbalizi kuwaombea Kura Wagombea wa CHADEMA

    Mkuu mbona umenikosea sana, nimecheka Hadi nikapitiwa na ushuzi kidogo na nimekaa na watoto wangu daah nimeona aibu nimeingia chumbani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

    Mkuu gear box oil niweke ya aina Gani mkuu na je 85w-90w inafaa au 75w-90w?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    Mbele mkuu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    Sikujua kuwa itayumba hivi mkuu ila nitabadili na mguu mwingine
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mmmh! Kapigage picha za hivi?

    Nashangaa Kuna mtu et anakwambia Bariadi hakuna pis labda hajawahi fika vijijini kule aone pis natural aache kihangaika na pisi fake Kila kitu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    Sasa Mahandow wako hapa anakuja kufanya nini mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    Hadi nataka kuichukia gari aisee
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    Ulichosema ni kweli kiongozi nimebadili za mguu mmoja ila gari inayumba balaa starling inatetemeka aisee Leo naenda kuweka na upande mwingine tena
Back
Top Bottom