Recent content by Sun Wukong

  1. Sun Wukong

    Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    Sijasikiliza ila kuanzia mleta mada na mada yenyewe wote mabwege
  2. Sun Wukong

    Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

    WanawKe wa kisasa hata tofauti ya heshima na kuabudiwa huijui
  3. Sun Wukong

    Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Aaaah then, you know, actually, fučk, i dont care, so, which one, or then, maybe, yes, but but but, thethethe you
  4. Sun Wukong

    Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Udaktari Kazi ya laana, yani ufanye dhambi kama hiyo kisa ugonjwa wa mwingine kila la kheri...
  5. Sun Wukong

    Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

    Haya mkuu umevikuta kwa nani?
  6. Sun Wukong

    Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

    Kweli ndio uwaite Mbuzi 🤣🤣🤣🤣
  7. Sun Wukong

    Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    We kuniita AI badala ya NI
  8. Sun Wukong

    Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    Mkuu sio kwamba sina hela, sili nyama chips nishakula sana ningekula nini? Chakula ni chakula ilimradi unakifurahia
  9. Sun Wukong

    Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    🤣🤣🤣🤣🤣 ila we jamaaa
  10. Sun Wukong

    Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    Makalio yako ndio tunayo shangaa
  11. Sun Wukong

    Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    Basi bwana leo nikaamua kupiga nguna na dagaa (chakula changu pendwa) nikaamua kuchat na Ai hizi sio zote ila nitaweka part nilizozipenda Cheki msosi kwanza... Oya dagaa zinamchanga sana ptuuuuuu 😅😅😅 nakula kibishi tu Ona Ai sasa Hapa ndipo alipo nichekesha Cc Gily Gru
  12. Sun Wukong

    Nimekuwa mama

    Wakiume huyo mzee baba lomolomo sijui amefanyaje mpaka amejifungua haha
Back
Top Bottom