Recent content by sumukali

  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM yaupoteza upinzani Tunduma

    hv ww upo nchi kwani hujui ccm wanatumia malori na kugawa vijisenti na flana pamoja na kanga.acha fikra mgandisho badilika,tunahitaji viongozi bora wenye mtazamo na taswira nzuri ya inchi hii.
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

    hii nchi hawa mwaziri ni k.........ma.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mtamfukuza Zitto, anaweza akaondoka na wafuasi wengi mpaka mkashangaa!

    watu hatumfati zito watu tunafata chama chenye sera za kweli na chenye ukombozi wa kweli.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Fursa bila mtaji bado ni tatizo

    hao clouds hawana lolote hv unamshauri mtu ajiajiri wakati hawana kitu.wale ni wazushi hawana lolote hata fursa ziwe mia moja bila mtaji ni kumuumiza mtu kichwa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

    Ccm hawana chao kimebaki ni chama kama cha kifalme yani kama baba ni kiongozi mkubwa pale basi atataka mkewe,watoto wake,wajukuu,vitukuu,vilembwe ili mradi waendelee kuiba hii inchi.msahau chadema ni chama cha kikombozi,mtu mnafiki kamwe hawezi achwa akitaka kuharibu chama kwa maslahi ya tumbo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto na Martin Luther King

    utofauti wa zitto na martin luther. 1.zitto ni mnafiki wakati martin luther alikuwa msema ukweli na mtekelezaji. 2.zito ni mpenda madaraka wakati martin luther alikuwa hana mawazo ya upuuzi kama huo alichojua yeye ni kutete haki. 3.zitto ni mchumia tumbo wakati martin luther alikuwa anataka watu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    mh!iaonekana huyo mtoto alikuwa anapenda hana lolote mara mbili nzima,usikute bwana mkubwa kamlia mikausho ndiyo kinapagawa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    tusikalili chama ila ni bora tuangalie nani ataweza kuongoza hii inchi kwa moyo wake wote.na kihusu wizi hivi ni nani ambaye anaweza kushika kitengo flani bila kuchukua kitu au sababu hujapata mwanya huo,mi nafikiri kama lowasa akipata urais atataka awaprove wrong watanzania kwa kuwaonyesha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CV ya Lukuvi: Hajui lini kaanza au kumaliza shule ila anajua kaanza lini siasa au kumaliza uongozi

    Du ndiyo mana anaongea pumba bungeni.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    hivi mbona mmekuwa mkitengeneza maneno yenu wakati rais kikwete amshatoa maelezo mazuri tu.mi nafikiri ben ameeleze vizuri sana kuhusu hili.unafiki ni kitu kibaya sana na ndivyo vinavyowasumbua mseveni,kenyata na kagame.
  11. S

    JamiiForums Tanzania JUSSA:Zanzibar haihiitaji Tanganyika ktk Muungano batili

    sisi wenyewe watanganyika tumewachoka.sisi wenyewe tunaitaka tanganyika yetu kama mbwai mbwai tu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naonekana sina faida ndani ya CHADEMA, nimeng'oka rasmi kuanzia leo

    kujitoa hukua sahihi ilibidi upigane mpaka mwisho ili uliondoe hl tatizo,mi nafikiri we si mpiganaji bali ww ni mmoja kati ya wale wanaotaka madaraka na kutaka kufaidika kupitia chama,ila kwa ushauri anzisha chama chako halafu kiite malaika.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utata interview za tume ya ajira(PSRS)

    Nawatakia kila la kheri kwenye interview mungu awaongoze ndugu zangu.ila someni sana maana huwa wanauliza maswali ya darasani zaid.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Utoro wa Mawaziri Bungeni tuna Uchoko Uchoko fulani sisi Watanzania...

    achane kupotosha jamii kwa tafsiri zenu za kihuni ila kama unatafsiri kihuni basi wewe uliyekuwa unamaanisha kihuni utakuwa choko.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila vyama vya upinzani ingekuwa masikini kupindukia

    its true.
Back
Top Bottom