Recent content by Sumu Boy

  1. Sumu Boy

    Namna ya kuomba tender

    Rahisi mno niuze kazi twende sawa mkuu
  2. Sumu Boy

    Msongo wa mawazo huongeza nafasi ya kupatwa na kifo cha Ghafla kwa 43%

    Sonona mimi imenipiga ila nikipata pesa stress zote zinakwisha
  3. Sumu Boy

    Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Kijana utafika mbinguni umechoka sana
  4. Sumu Boy

    Tangazo kwa wana Yanga wenzangu

    Sema kimeumana
  5. Sumu Boy

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Hapo kwenye nyama na vitu vya kukaanga ndo napenda ngoja nizingatie om ulivyosema mkuu asante kwa msaada wako
  6. Sumu Boy

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Asante ngoja nizingatie hayo maana hali ya kukata tamaa ilishaanza niingia nikaanza kufikiria kwenda kunywa fiterawa ya Rahab
  7. Sumu Boy

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Shukrani mkuu ngoja nijaribu hii
  8. Sumu Boy

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona. Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
  9. Sumu Boy

    Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

    Aisee bongo nyoso sijaona penye nafuu hapo
  10. Sumu Boy

    Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

    Wamueke mpiga deal ili tupunguze machungu aisee!!!
Back
Top Bottom