Recent content by sumer

  1. sumer

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

    Sitaki kuamini ni kauli za kunyatia uchaguzi ukipita umwambafy palepale.danganya toto kwa pipi.
  2. sumer

    JamiiForums Tanzania Midundo (beats) ya hiphop yenye hisia kali bila verses na utatikisa kichwa tu

    Move bitch luda
  3. sumer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mnajuaje kwamba uyu ni Mwanamke au mwanaume mpaka mnatongozana uku ndani?

    Mwanamke akishaingia jamii forum tu anatofaut na wengi sana maana wanawake wengi wanapenda kuuza sura siyo maneno.huku hakuna kuuza sura.kwenye kufahamu huyu ni mwanamke mbona simple sa unakuta mtu kaanzisha uzi natafuta mume kunachakujiulizahapo?pia uandishi unaweza kukuonesha
  4. sumer

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kudhulumiwa au kutapeliwa? Tushikishane mbinu za Matapeli na namna ya kuziepuka

    Kuna utapeli wa mtandao unaambiwa jiunge na group la malovelove tuma ela uungwe sasa!!!ukiwa na bahati ukaungwa mtajikuta mnachat wanaume tupu hamna hata demu hii nishatapeliwa hata sidanganyi.na mtoto mkali umemuona insta au fb popote pale mtandaon anakwambia ntumie nauli nije hii kila siku...
  5. sumer

    JamiiForums Tanzania Sanch amekanusha...

    Iyo video jaman wengine hatujaiona tutoe comments
  6. sumer

    JamiiForums Tanzania Kauli za kuwa Marekani kuna maisha magumu!

    vp kuhusu kazi unayoganya ww kwa sasa haiitaji chet wala elimu?
  7. sumer

    JamiiForums Tanzania Haipingiki: Hii ndio Top 10 ya binadamu wanaochukiwa zaidi Tanzania kwa sasa

    Ila inakuPa uhuru wa kujiexpress nakutoa mambO yanayokera mOyon ukizingatia hakunasehemu utatoa dukuduku lako kama jf.unauhakika gan anafamilia au hajatimiza majukumu yake?ungekuwa na busara ungekaa kimya maana na ww hukute hata familia yk huijali.sa sijui huku kwenye social media unafata nn?
  8. sumer

    JamiiForums Tanzania Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

    Duu nimeona fb Q
  9. sumer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakushauri Dada yangu Usiolewe na Mwanaume anayependa Gari/Magari haya.Utajuta

    Vp akimiliki mwanamke hizo gari hujamalizia mkuu ila kama kunakaukweli hv lakin sijahafki.
  10. sumer

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kikitokea hapa nchini utafurahi na kurukaruka kama zuzu

    Umetisha saaaana iyo ndo furaha yanguu asilimia 100 siku ikitokea
  11. sumer

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kikitokea hapa nchini utafurahi na kurukaruka kama zuzu

    Katiba ibadilike na haki za binadamu zifuatwe.hapo kwenye katiba raisi asiingilie kaz na akizingua afungwe na fimbo juu
  12. sumer

    JamiiForums Tanzania Silaha ni nini?

    Nlitaka kujua mfano silaha za kuwindia kama crossbow na air gun kama airriffle je hizi kumiliki inakuaje ?kama air gun ni bunduki za kuwindia wanyama wadogo kama sungura na ndege.na zinatumia pressure ya upepo. je hizi nazo kumiliki tz ni sawa au
  13. sumer

    JamiiForums Tanzania My spiritual opinion: Tupac Shakur alikufa baada ya kumezwa na “kivuli” cha mauti cha Biggie Smalls

    Unamaanisha nn mkuu kwamba taharifa zilipindishwa au?
Back
Top Bottom