Recent content by sumbuka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    Lete vya daud bashite
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    Vya daud bashite vipo wapi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

    Watawaoa siku izi hawa watu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais jitafakari madaraka yamekulevya; Wapinzani si maadui wa wananchi kama unavyofikiria

    Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja vitakupa tabu siku zote badilishen aina ya siasa zama hizi si siasa za maji taka
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanyeje mkeo wa ndoa ameondoka kwenda kwao halafu hataki kurudi kwako?

    Fika nyumbani ujue tatizo ukisha kijua then utaamu kuoa na kuacha sio njia ya kumaliza matatizo inawezekana ukaoa then yakaja kujirudia yale ya zamani yaliofanya mke wa kwanza akukimbie
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Huu ni aina nyingine ya wivu wa kike! Ukielewa nachosema utajua kwa nini nasema ivi? Huwezi kua na fikra mbovu kama hizi kwa kukarabati ofisi hakuna kijana anaeweza kukaa kwenye ofisi chafu. Wazee wengi hawawezi tengeneza sehemu wanayofanyia kazi kwa kua tu wanajua hawana mda mrefu kuzifanyia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Makonda kajaribu nyie mnaojua manyangumi tafadhari tusaidie kujua ukweli ndugu yangu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tukio ulilowahi kufanya Primary au Sekondari na unakumbuka kama kituko hadi leo

    Kuwekwa kizuizini kwa masaa 12 kwa kuhisiwa nafana jina na jambazi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sony experia z4 used for 140.

    Lete mi nipo kimara mwisho
  10. S

    JamiiForums Tanzania Harmorapa Fans' Special Thread...

    Maisha ya kuigiza ni magumu sana jikon unaenda kwa kuchungulia ivi hapo kwako au umeazima tujadili mambo mengine ya msingi watanzania
Back
Top Bottom