Recent content by sumalilanda

  1. S

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Malambamawili mwisho maji tunapata lini? Maana tangu mchina alaze bombo kuu hakuna kinachoendelea. Watu Ni wengi mnashindwaje kutumia fursa hii tupate maji na nyie mpate pesa? Tunaomba majibu, maana tumechoka kununua maji Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: President Magufuli a strongman on Earth

    H
Back
Top Bottom