Recent content by suma1

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Lini somalia imetangazwa kama nchi ya kislam acha uzushi wew , na unalopoka tu , hayaniambie makamu Wa raisi Tanzania naye vipi au tz ni nchi ya kislam pia ? Wekilaza kweli
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Kweli nimeamini Tanzania in watu ambao hawaja elimika kabisa na hawawezi kujenga hoja , jalibuni basi hata kupitia katiba muone inasemaje kuhusu dini , kama hamjui kusoma semeni
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Mawazo finyu hayo we ni mmoja Wa vilaza mnao tafutwa na magu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Una mawazo mazuri lakini kwa wajinga wenzako , mbona kuna watu tunaona wamevaa rozali lakini hawaingiliwi wala hawa semewi chochote ? Kweli magufuli anaongoza vilaza aendelee tu kuwabuluza
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Mawazo yako yakitoto sana basi fikilia kidogo we nikilaza ambaye magufuli analutafuta
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Maamuzi ya MTU, kumbuka kuna Uhuru Wa kuabudu pia kuna haki za binadam , unavyo uliza hivyo unamaanisha nini ?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Amenisaliti, leo 'narevenge'

    Magojwa je ? Kisasi chochote hakikisha we hauathiliki katika namna yoyote ile
  9. S

    JamiiForums Tanzania Katuni ya leo kuhusu UDOM

    Naye jibu mwenyewe kasema amejenga barabara hewa " mi nitamtumnuwa kwa maana mganga hajigangi"
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Lowasa nakungoja we ndio shujaa Wa kweli
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Lowasa baba nakungoja
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Watanzania nani kawaloga nyie ??? Mmekuwa watu Wa aina gani nahisi ile vita ya majimaji niliyo isoma haikutokea tanzania
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kuu la tatu la UKAWA

    Wafunzi walio dahiliwa kwenye uongozi Wa kikwete hawana sifa basi asiwafukuze kwa stahili hiyo wadailiwe upya nawaambiwe vigezo vipi wamevikosa
Back
Top Bottom