Lukumburu,igawisenga,lilondo,madaba,mkongotema,lutukira,gumbiro,Mtyangimbole,likarangiro,mlilayoyo,while ya tanga,mshangano,msamala,bombambili,mfaranyaki,lizaboni,ruhuwiko,namanditi,likuyufusi,peramiho,
Wakati huo nasoma songea boys nilipanda kiswele TZJ 4989 tulifika songea saa kumi na moja na nusu, kile kipande cha kutoka Njombe kwenda songea kwenye zile kona bus inalala balaa abiria wote kimya, dereva alikua Anaitwa Yayaha miaka ile bus Zilikua zinatembea Sana
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.