Recent content by Sultan alpaslan

  1. Sultan alpaslan

    Wanawake wa mjini, sijui nifanye nini! Ushauri

    Wakati mwingine pata muangaza kupitia maswali uliyo nayo,. Ukisha Gambia felia suruhisho mi lepesi Fanya uamuzi kwenye kama ulicho Fanya wakati wa kumuaproach make hukumshirikisha MTU.trust your self you can
  2. Sultan alpaslan

    NIDA kusitisha matumizi ya namba za walioususia kuchukua vitambulisho vyao

    Mhh hiini kali kiukweli walio wengi naomba zao hawazipati nasio kuwa hawazitaki hakuna raia aliye poteza MDA wae kujiandikisha na kuhangaika juani alaf aka kataa kitambulisho chake na haliyakua ajua Faida na umuhim wake, kwanza fatilia taraibu zinazo tumika kuwafikishia wanachi NAMBA ZAO KABLA...
  3. Sultan alpaslan

    Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

    Kila kitu kinacho tokea katika maisha Yako nisehem ya mafundisho hivyo yahitaji utafakari Kwa kina ili sikunyingine USI jichanganye natumai misingi ya hekima unaifahamu ndugu
  4. Sultan alpaslan

    Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

    Hapa kinacho takiwa kuzingatiwa ni kwamba katika maisha Kuna mamboma 2 yanafanana ila ni tofauti sana 1. Kuna mapenzi 2. Kuna urafiki Unaweza kuwa na mpenzi ila asiwe rafikiako pia Mama anaweza kuwa rafikiako katika maisha ukiachana na upendo wa nafasi yake kama mama.na pia upo uwezekano...
  5. Sultan alpaslan

    Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

    Mwenyezimungu atuepushie fikra potofu juu ya kile kinacho dhaniwa ni haki kumbe ni batwili ILIYO pitiliza ifike hatua Imani zirejee nyoyoni mwetu, kuliko kuwa fanya wazungu kama macrietor wa duni yupo yule aliye juu yao.
  6. Sultan alpaslan

    Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

    Kula ugali sio tatizo tatizo nipale tunapo hitaji kuwaiga wazungu Kwa Kila wanacho kifanya katika maisha Yao ,na sisi waafrika tunazo akili nyingi tu nasio wajinga ila tu dhana mbovu tulizo jijengea akilini mwetu kuwa hiki hatuwezi ilihali tunaweza pale tunapo amua, wale wazungu pamoja na kuwa...
Back
Top Bottom