Recent content by sulle23

  1. sulle23

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Ngara Kagera upunguze mwendo
  2. sulle23

    JamiiForums Tanzania Degree ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania inachukuliwa kwa muda gani?

    Na foundation course ipo ndani ya ile miaka utakayosomea degree au yenyewe inajitegemea?msaada please
  3. sulle23

    JamiiForums Tanzania Degree ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania inachukuliwa kwa muda gani?

    Namna ya kujiunga out
  4. sulle23

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ngara nije babati/hanang/singida mji/arusha secondary
  5. sulle23

    JamiiForums Tanzania sheria ya hukumu ya watoto

    Mtoto wa chini ya miaka 18 ana jela yake maalum,je huyo mtoto akihukumiwa jela labda miaka 10 na kabla hajamaliza kifungo chake akatimiza miaka 18 ya utu uzima,ataendelea na adhabu yake?naomba ufafanuzi wa kisheria tafadhali.
  6. sulle23

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na kaanza
  7. sulle23

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mimi ninewauliza wakanijibu hivohivo
  8. sulle23

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    huo hapo ni utaratibu wao wa kubet
  9. sulle23

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Celtic niliweka dakika 45 atashinda na akashinda 1-0 kipindi cha kwanza,je matokeo mengine ya kipindi cha pili yana athari?
  10. sulle23

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa ni dakika 45 za kipindi kimoja au?
  11. sulle23

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba msaada,kubet 45 minutes maanake nini?
Back
Top Bottom