Mimi Huwa sipendi sana kujibu thread za watu, ila hii yako imenibidi niijibu, Yaani Umeniudhi sana, sasa yote hayo hadi umeyaandika bado unaganda kutaka ushauri, ATAKUUA huyo mwanamke, Asepe zake na wewe chukua Hamsini zako, Kama ni kweli isije ikawa tunapoteza nguvu kujibu hadithi za Shigongo.