Recent content by suleiman omary

  1. suleiman omary

    Milioni 50 za matibabu ya Ruge ni mshahara wa Rais au kodi za watanzania?

    Lissu hakosoi kiustaarabu anamkashifu rais na kutoa maneno ya kejeli kama huyajui basi shida IPO kubwa kwako.
  2. suleiman omary

    Milioni 50 za matibabu ya Ruge ni mshahara wa Rais au kodi za watanzania?

    Vyovyote vile naiwe yeye kaamua kumsaidia luge. Huyo tundu lisu msaidie na wewe.
  3. suleiman omary

    Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Shida kweli yamekuwa Hayo tena? Mbongo shida. Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
  4. suleiman omary

    Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

    Wewe huwajui watz? Unaishi wapi.
  5. suleiman omary

    Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

    Rais magu anapendwa Sana na watz kuliko unavyofikilia wewe.labda ninyi aliowazibia mianya ya upigaji na siasa za ujanja ujanja.
  6. suleiman omary

    Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

    Anajihisi tu.
  7. suleiman omary

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Na huyo amehongwa Tshs ngapi? Wanazidi kupukutika, m\Kiti na kina mashinji,msigwa, Lema wao wasema chama kinazidi kuimalika. Hiyo ni Kweli? Mtapata taabu sana.
  8. suleiman omary

    Zijue sababu zinazoutafuna upinzani Tanzania

    Umangimeza wa upinzani hauathiliwi na Katiba. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. suleiman omary

    Nyambibo sio kwa mkorogo huu

    haswa
Back
Top Bottom