Kama 7% ya kukua uchumi ni kweli kwanini nguvu kubwa inatumika? Uchumi uliokua sio siri

Uchumi wetu unakuwa kwa kasi Sana.!! Ukiona unabishana na ukuaji huu basi umeshakupita
 
Kwa nini serikali ya awamu hii inatumia nguvu kubwa na propaganda inapotaka kuaminisha uongo kuwa ukweli?
Kama uchumi unakuwa kwa 7% tofauti na IMF isemayo 4% shida ya nini matangazo huku na kule wakati uchumi unaokuwa ungeweza onekana bila propaganda?
Haya mambo ya kulazimisha uongo mwisho itakuwa kama yale ya kampuni ya Indo power ya kununua korosho tuliyoaminishwa inaweza nunua korosho kumbe fix tuuView attachment 1100975
labda wanajumlisha na zile ela za mkopo.

ila mwee.... yaani mtu ukila na kushiba ndiyo uwe unajipitisha mara kwa mara mbele za watu kuingia chooni ili eti tu waone kweli umeshiba? wakolomije mna mambo!!
 
Bila Shaka wewe Ni ke
Na una unatafuta me umu
Unaorodheresha miradi inayotekelezwa kwa mikopo na nguvu za wahisani
SGR, Stieglers Gorge, elimu bure, mikopo elimu ya juu, ujenzi wa barabara nk vyote viko wazi kuthibitisha kwa macho kwamba kasi ya ukuaji uchumi ni ya kustaajabisha!
Serikali yenu ni bubu ndiyo ikae kimya siyo? Hivi kwa nini mnataka mabwana zenu tu ndiyo waongee enyi mashoga, maneno kidogo tu, eti nguvu kubwa?
 
Achana naye hajielewi na hajui nchi yake inaendeshwaje
Hivi ukijenga nyumba kwa fedha za mkopo kisha unashindwa kuwapa wanao milo mitatu, matibabu na elimu kwa vile unalipa deni LA ujenzi wa nyumba utasema uchumi wako umekuwa kwa vile unajenga nyumba inayoonekana?
 
Mkuu hii asilimia 7 ni kwa mazwazwa kwa wenye akili kubwa wanaelewa kwamba hiyo 7% ni FAKE PERCENTAGE.

Kwa nini serikali ya awamu hii inatumia nguvu kubwa na propaganda inapotaka kuaminisha uongo kuwa ukweli?
Kama uchumi unakuwa kwa 7% tofauti na IMF isemayo 4% shida ya nini matangazo huku na kule wakati uchumi unaokuwa ungeweza onekana bila propaganda?
Haya mambo ya kulazimisha uongo mwisho itakuwa kama yale ya kampuni ya Indo power ya kununua korosho tuliyoaminishwa inaweza nunua korosho kumbe fix tuuView attachment 1100975
 
SGR, Stieglers Gorge, elimu bure, mikopo elimu ya juu, ujenzi wa barabara nk vyote viko wazi kuthibitisha kwa macho kwamba kasi ya ukuaji uchumi ni ya kustaajabisha!
Serikali yenu ni bubu ndiyo ikae kimya siyo? Hivi kwa nini mnataka mabwana zenu tu ndiyo waongee enyi mashoga, maneno kidogo tu, eti nguvu kubwa?
mikopo ya elimu ya juu kwa goverment tu sio wakati jk aligawa kwa wote, uchumi upo kibla nyau wewe
 
Hatuoni exports hats za mazao zimefeli,viwanda vyandani vinasuasua,ajira hakuna hata ualimu,mishahara palepale,makampuni ya nje ndiyo yanajenga miradi,kilichoongezeka ni crkali kukusanya kwanguvu mpaka kwa wamama wauza michicha,kubana matajiri kodi na vitisho mpaka kuteka,kupunguza watu kazi alafu unaambiwa uchumi unakuwa kwa kazi.
Kweli watz sio wajinga saana ila tunaujinga. Inakuwaje wakipewa taarifa zakusifiwa wanakimbilia media wakikosolewa wanaitisha vikao na waliokosoa!!! Wakisifu WB wazungu wamekubali wakikosoa mabwanyenye wanatuvuruga!!
Watuambie sasa sekta gani imekuwa zaidi kwani tumesikia hata sekta ya ujenzi imekuwa kwa wastani uleule japo ujenzi kila mahali na makampuni ya wenzetu.
 
Ha haha! Kwamba wazungu wakisifu kitu cha serikali wanaitwa "wahisani" lakini wakikusoa au kusema yasiyopendwa na wataka sifa wanaitwa "mabeberu"!
 
Hamjiulizi kwanini IMF wanasema urongo, mnalalamika kwann serikali inajisifia.
Nyinyi pia ni agents wa IMF
 
Kuna vitu huwezi kuvificha Jua na Ukweli, Muda haujawahi kumuangusha mtu, ni mwalimu mzuri sana muda
 
SGR, Stieglers Gorge, elimu bure, mikopo elimu ya juu, ujenzi wa barabara nk vyote viko wazi kuthibitisha kwa macho kwamba kasi ya ukuaji uchumi ni ya kustaajabisha!
Serikali yenu ni bubu ndiyo ikae kimya siyo? Hivi kwa nini mnataka mabwana zenu tu ndiyo waongee enyi mashoga, maneno kidogo tu, eti nguvu kubwa?
Ni mashoga sana, imf wakidanganya wanasifia, serikali ikawaita kujadiliana wamepataje figures zao, wakaogopa sababu ni uongo, serikali inajisifia per african bank estimates, mashoga yanalalamika. Fvcken
 
Hivi ukijenga nyumba kwa fedha za mkopo kisha unashindwa kuwapa wanao milo mitatu, matibabu na elimu kwa vile unalipa deni LA ujenzi wa nyumba utasema uchumi wako umekuwa kwa vile unajenga nyumba inayoonekana?
Hivi hakuna elimu bure? Hakuna vituo vya afya vinavyojengwa kwa kasi kupita awamu zote? Etc
Mkopo gani huo unaongelea, bank inasemaje kuhusu huo mkopo kama unastahimilika, wewe bakibaki ni nani na unajua vitu unavyoongelea au unataka dj, disko joker aongoze nchi baada ya kuongoza night club. Ovyo
 
At least u're talking about economic growth!
Wengine watakwambia sijui fedha za mkopo mara mzunguko wa hela, kilipanda kikashuka.
Zaidi, kuhusu uchumi kukua hilo siyo mjadala maana hata hao mnaowaamini wamethibitisha. Kinachojadiliwa ni kiwango cha ukuaji
Nani amethibitisha? Ngoma upige mwenyewe halafu ucheze mwenyewe. Tuna watu ndani ya taasisi kubwa za fedha za Dunia na Africa,na wote wanakiri hali ya uchumi ya TZ ni mbaya zaidi ya tuambiwavyo.
 
anyway mm binafsi aisee sijaona uchumi ulivokuwa yani, anyway labda sijajua kuwa nchi I kijenga reli na elimu bure ndo uchumi umekua....labda tuseme serikali imejenga SGR,na daraja la juu tena mkoa mmoja wa dar es salaam na elimu bure ila namzunguko wa hela umedolala mkisema hivo nitawaelewa
Mzunguko wa hela umedorora kwa wananchi wangapi, asilimia ngapi. Hawana kazi au
 
SGR, Stieglers Gorge, elimu bure, mikopo elimu ya juu, ujenzi wa barabara nk vyote viko wazi kuthibitisha kwa macho kwamba kasi ya ukuaji uchumi ni ya kustaajabisha!
Serikali yenu ni bubu ndiyo ikae kimya siyo? Hivi kwa nini mnataka mabwana zenu tu ndiyo waongee enyi mashoga, maneno kidogo tu, eti nguvu kubwa?
Maneno uliyotumia hapa yanaonesha kiwango chako cha "busara " kilivyo sawa na takwimu zenu za uchumi 7%. Asilimia iliyobaki inawakilisha jinsi ulivyo mzuri katika "matumizi". Unafaa sana "kutumika", na Mheshimiwa Masele ameshasema " Mnatumika " vizuri tu.
 
Na wewe kweli unaweza kuwa mama? Kama ni mama basi ni tatizo kwani utarithisha ukilaza.
UONGO UKISEMWA KWA MUDA MREFU BILA KUKANUSHWA HUDHANIWA NI KWELI BY. MWL NYERERE.

NGOJA TUWAJIBU WALE WAPUMBAVU NA MALOFA WALIOZOEA KUPIGA MADILI. WANATUMIWA NA MABEBERU NA NI MAKUWADI WA MABEBERU KWANI WALIZOEA KUCHUMA TANZANIA.

AWAMU HII LINI ULIONA SERIKALI INAKOPA MISHAHARA BAKHRESA AU HOME SHOPPING CENTRE??? MIRADI MINGAPI TUNAFANYA KWA PESA ZA NDANI???

AU MNATAKA WATU WAFUNGUKE???? MWACHENI RAIS MAGUFULI AJENGE MISINGI IMARA KWA KUENDELEA KUKUA KWA UCHUMI WA TANZANIA.

HAYA YALITAKIWA YAFANYIKE AWAMU ZILIZOTANGULIA. HATA HIVYO MUNGU HAKUTUACHA NA YEYE NI WA MAJIRA NA NYAKATI.

Queen Esther
 
Jamani ee,
Hapa kuna tofauti kubwa sana kati ya economic growth rate na Human development index. Wchumi huwa wanatunambia nini tunataka kusikia na kuna baadhi ya watu huwa wanapokeaga taarifa bila kujua dodoso lilihoji wapi na linapima nini.
Mathalani, uchumi wa South Africa mwaka jana umekua kati ya 1.3% to 2.2%.

Uchumi wa Kenya ulikua kwa asilimia 5.7 (Approx. 6). (GDP ikiwa 74.9 taarifa ya 2017)
Uchumi wa Tanzania ulikua kwa 6.6 (Approx 7). (GDP ikiwa USD 56 taarifa ya 2017
Uchumi wa Marekani ulikua kwa 1%. GDP ikiwa 9.39 trillion USD taarifa ya 2017)
Ethiopia Uchumi ulikua kwa 7.7% (approx 8) (GDP ikiwa USD 80 Bil taarifa ya 2017

Pamoja na taarifa hizo hapo juu, Tanzania watu bado wana hali nzuri ya maisha kuliko Kenya, Ethiopia na South Africa. Hata Marekani kuna baadhi ya watu wamechoka na hali ni ngumu kuliko Tanzania

Norway ukuaji wa uchumi ulikuwa 0.5% (GDP 398.8 billion USD taarifa ya 2017) Ila Norway maisha yao wanakula bata na hali nzuri, maana wanaishi mfumo wa kisoshalist ambapo human development index iko juu. Huduma za afya, elimu, maji, usafiri watu karibia wote wanaweza ku-afford.

Hapa kwetu, hela imepotea kitaa watu tunadhania uchumi ni mbaya. Kuna wakati wa mzee Mwinyi hela ilikuwa ya kumwaga kitaa na uchumi ulikuwa mbaya.

Suala ambalo baadhi yetu tumekuwa tuki-advocate ni kuiomba serikali iweze ku-balance the 2 kwa kutengeneza mfumo mbadala wa kutoa guarantee kwa miradi ambayo inaweza ku-cut down imports na ambayo inaweza kuongeza thamani kwa kuongeza exports.

Kuna miradi ya madini serikali inaweka gurantee kupitia BOT, yet haifanyi vyema sana.

Kwenye miradi ya afya tuna-import 97% ya dawa na vifaa tiba. Kama Serikali ingetoa guarantee ili mimi na wewe tuzalishe chochote kinachokuwa consumed kwenye vifaa tiba/madawa, maana yake hiyo hela ingezunguka humu ndani.

Au kwenye korosho, mara kwa mara toka mwaka jana tushatoa ushauri wa kutosha how we can do it better ili tuuze finished product kwenye ubora wa kuuzika ndani na nje ya nchi kama inavyonekana hapa chini.

Amazon product ASIN B00KO2ARRA
Ngoma nzito huwa ni kuwapata fursa ya kuwapata decision makers ambao wako credible. Maana kuna wadau wengine kwenye gov. circles ukiwapa proposal on how to do it, wanaiba kuwapa ndugu zao au wao kufungua kampuni na wachina huko nje then wanaileta kwa mlango wa nyuma.

Prezdaa yuko very reliable kutaka kuona mambo yanaenda, ugumu ni how to get him on table based on his busy schedule and red tapes around him. Maana kuna issues zingine unaweza kuwapata right ppl kwenye ministerial level, wengi sasa hivi baadhi wanaogopa hata kufanya initiative.

Otherwise kuna hali nyingine ngumu tutalia, serikali inapotenza fursa ya kuongeza ajira kupitia kukua kwa private sector ambayo itagusa ukuaji wa tax base, ongezeko la watu kwenye mifuko ya NHIF, NSSF na kununua huduma na kulipia mahali kama TANESCO, Maji, TFDA, TBS na NEMC...

Na mbaya zaidi kwa kuwa mambo mengi yaanzia serikalini, wenzetu wanaosaidia mambo yaende wana uhakika wa mshahara kila tar 23 ya kila mwezi. Whether kuna mambo yamefanyika au hayajafanyika, hakatwi hata 100 mwisho wa mwezi. Ila ukiwa-facilitate kwa bahasha za kaki, speed inakuwa kubwa.

Tanzania, Tanzania...nakupenda kwa moyo wote
At least a sane individual amongst millions of insane
 
Mie nadhani Tanzania kuipenda kwako au kutoipenda hakubadili maana ya ukuaji wa uchumi. IMF wanasema 4% na ADB ili watengeneze mianya ya kutukopesha wanasema unakuwa kwa 7%.
Swali kwanini kauli ya ADB inapigiwa chapuo sana?
Kwanini nyinyi mnapigia chapuo IMF
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom