Za mda huu wakuu.
Nimepata changamoto hapa kazini kuna duka tunauza magodoro na mimi nimekuja hapa sio mda mrefu mana ni la familia,sasa changamoto ni kuhusu wateja kununua godoro baada ya muda wanakuja wanasema wanataka kurudisha eti kisa linabonyea sana katikati,sasa nachotaka kujua na...
sawa kiongozi
,ndo mana dogo Hana mwili kabisa ni mwembamba sana eti tunajifariji tunasema amefuata mwili wangu, clinic akienda anaongezeka grams tu sio kilo
Wakuu za wakati huu,
Nina mtoto ana miezi mitano bado hatujamuanzisha chakula kingine ananyonya maziwa ya mama yake tu, ila shida ni kuwa amekuwa ananyonya muda wote anakaa kidogo anapata njaa ananyonya tena hadi mama yake amekonda [emoji19](maziwa anayo ya kutosha).
Sasa tunajiuliza...
siingii JF hadi ijumaa kwa herini
afu huyu @medicin niliandaa essay ya matusi kumtumia kule PM lakini amshukuru shetani wake kamwambia aifunge PM yake la sivyo angejinyonga,analeta tabia zakina jems delishaz apa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.