Recent content by sukankanwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    hizo kura zimepigwa kwa siri au za chama tawala ndiyoooo!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kalenga kama Arumeru mashariki

    hapo ccm hilo jimbo lazima watashindwa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

    ccm wasipende kuwabuluza wananchi vile wanavyotaka wao,kwanza mungano una mapungufu mengi sana yawezekana wao wananufaika sana na huo mungano wa serikali mbili,mfano kuonyesha huu muungano ni kisanii ni hakuna hata raisi mmoja aliyewahi kufanya ziara ya kukagua maendeleo zanzibar,kama kuna mtu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

    watanzania tutakuwa hatuna akili kama wanampa promo gaidi mwigulu nchemba kuwania uraisi,wanamtafutia umaarufu kwa nguvu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    kati ya ccm na chadema nani wasanii,maana ccm wanapitisha hayo mafao bila kuangalia athari kwa wananchi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Hilo fao la wabunge waliopitisha ni wabunge wa chadema au wa ccm?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Channel 10 Live: Jenerali on Monday

    kwanza kawapotosha watanzania kuwa serikali tatu sio maoni ya watanzania bali ni kikundi cha watu wachache kilichoidhinisha serikali tatu,hapo hanma mwandishi wa habari,kwanza ameidhalilisha tasinia ya uandishi wa habari.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Tundu Lissu, Heche, Munishi na Ndesamburo mjini Moshi

    Hongera chadema kwa kuelimisha wananchi,viva cdm tunasonga mbele magamba wao waendelee kupiga majungu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

    kuiangamiza chadema hawawezi,zito kama nibora anzishe chama chake.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sugu atikisa Makambako

    hongera sana sugu endelea na harakati za ukombozi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Hongera cc kwa kufanya maamuzi magumu ya kuwavua uanachama kitila mkumbo na mwigamba viva chadema.
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Hawajafukuzwa isipokuwa wao wameondoka kwenye cc bila kuaga.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa azidiwa ghafla na kukimbizwa Hospital

    Pole kamanda msigwa mungu yupo pamoja nawe.
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafanya Mkutano wa Kamati Kuu leo Dar, Mnyika aelezea yatakayotokea baadaye

    Nawapongeza chadema kwa kuwa imara na hao wasaliti wa chama hasa zito kabwe anataka mahakama ibebe ili aonekane yeye anauchungu na chama.wakati lengo lake ni kutaka kuvuruga chama magamba wakiwa nyuma yake kamwe hira zake zimeshindwa,cdm itazidi kusonga mbele viva chadema.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi..

    karibu sana mkuu
Back
Top Bottom