huyu mungu mnaemsingizia huu uuaji iko siku atawashangaa sana.si ndo yeye aliyesema mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia?
akasema samehe saba mara sabini...
akasema nawaachieni amri moja iliyokuu kuliko zote..upendo
akasema usiue
acheni kusingizia kuwa kina nyau wanafanya haya kwa...
mfano strong measure kama ipi? watu watasemwa hadharani? au wataongeza idadi ya mipira? watafunga makasino? wakigundua pombe(maskini bajeti yetu) inamchango itapigwa marufuku? watauwawa wenye navyo? hawataruhusiwa kujamiiana? au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.