Saaana,kiingilio kilikuwa elfu mbili,na hakuna cha fungulia dog,mpaka shoo iliisha watu wanalipa elfu mbili hadi watoto,watu zaidi ya 5 au 6000 waliingia,sasa hapo mavoko atakosa milioni 1 ?lazima amepata,maana walikuwa wachache tu,hakuna maandalizi ya stage wala nini,ni uwanjani,matangazo ni...