Orodha ya wasanii bora wa kisukuma wa siku zote

Hawa ni wasanii ambao wametoa ngoma kali na kuweza kuhit ukanda wa ziwa wote. Ni wasanii ambao wanajaza sana kwenye show zao.

1. Malingita
2. Bhudagala mwanamalonja
3. Bahati wa bugalama
5. Ngelela
6. Kisima
7. Juma marco
8 Gudegude
9. Inaga
10. Bushemeli
"Malingi matale" usukumani
1. Ng'wana Lutangagula
2. Gembe
3. Nkalango
4. Idili
5. Ng'wana Kanundo (huyu ni babu yangu halafu alikuwa ni kipofu)
6. Kalikali (alikuwa rafiki yake na Padre Clement wa Bujora Museum, aliyekuwa ametoka Denmark)

"Mabini ga mbina matale" usukumani
1. Ng'wana Maria
2. Ngogo (huyu alikuwa ni mgogo kutoka Dodoma ila alilowea usukumani na kuanza kushindana na wasukuma kwa kucheza ngoma za kienyeji)
3. Malugumba
4. Fundi Kuganyala

...orodha ni ndefu sana
 
Tuko mikoa mitano chief
1. Mwanza
2. Shinyanga
3.Tabora
4. Simiyu
5. Geita

Na viunga vyake kama Kagera na Mara
Unadahani kwa nini hawa watu ni wengi hivi halafu bado ni maskini sana? GGM iko kwao, BUZWAGI iko kwao, MWADUI iko kwao, ng'ombe ziko kwao na Tanzania ni ya pili kwa uwingi wa ng'ombe DUNIANI, ya kwanza ikiwa ni Ethiopia
Unadhani ni kwa nini kuna roho ya umaskini kwenye eneo lao?
 
Hapa umeonyesha akili zako ni ndogo, tena sana... Masikini ni mtu gani? Maana hata wewe hapo nimeona wazi ni masikini
 
Unadahani kwa nini hawa watu ni wengi hivi halafu bado ni maskini sana? GGM iko kwao, BUZWAGI iko kwao, MWADUI iko kwao, ng'ombe ziko kwao na Tanzania ni ya pili kwa uwingi wa ng'ombe DUNIANI, ya kwanza ikiwa ni Ethiopia
Unadhani ni kwa nini kuna roho ya umaskini kwenye eneo lao?
Ficha upumbavu wako wewe!!! Mikoa maskini Tanzania ni kagera,kigoma,singida,Dodoma na tabora,haya nioneshe mkoa mmoja hapo ambao wenyeji wake ni wasukuma!!!
 
Back
Top Bottom