Hii kitu iacheni tu,ugenini hulali,wengine vilipotea baada ya kushuhudia wenzetu kadhaa kufungiwa vyura viunoni, watoto mtaa mzima mnaitwa kuimba wimbo pendwa enzi hizo,"KIKOJOZI HILOO,NA NGUO TUZICHOME MOTO HILOO" kama nakumbuka sawasawa,hapo godoro mtu kabebeshwa kichwani,tumbo wazi na chura...