Recent content by Sucre255

  1. Sucre255

    Kuna fursa zipi kwenye kusoma Ordinary diploma in pipe work, Oil and Gas Engineering?

    Odinary diploma in pipe work, Oil and Gas Engineering haiko vizuri pale arusha technical na wanahangaika tu.. achana na hyo kozi
  2. Sucre255

    Ada kwa vyuo vya ufundi kwa goverment sponsor

    Leo nacte wametoa tangazo la ku confirm kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo. Sasa nmeona ada wameandika 900000 kwa chuo cha M.U.S.T na 850000 kwa chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLEGE wakati hao waliochaguliwa ni government sponser sio private ... Sijaelewa hapo. Government sponsor kwa kawaida...
  3. Sucre255

    Nauza laptop (hp)

    Uunapewa pc pamoja na begi lake
  4. Sucre255

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza s4mini yangu laki moja na nusu 150000 inacrack kidogo kama unaitaji ni D.M tufanye biashara
  5. Sucre255

    Nahitaji simu

    Ongeza nusu iwe laki nanusu nikuachie s4mini samsung Ni D.M KAmautakua unaitaji
  6. Sucre255

    Nauza laptop (hp)

    Napatikana dar es salaam
  7. Sucre255

    Nauza laptop (hp)

    Mwenye uhitaji nayo ani D.M tuongee
  8. Sucre255

    Nauza laptop (hp)

    Picha zimeshawekwa
  9. Sucre255

    Nahitaji simujanja bajeti yangu ni 125,000

    Ipo s4 mini ninayo kama unaiitaji ..... tatizo la simu hyo ni mkwaruzo kidogo kwa kioo. Kama uko serious ni D.M
  10. Sucre255

    Nauza laptop (hp)

    Nauza laptop yangu kwa bei ya shilingi laki nne (4) specifications zake ni RAM 4GB. HARD DISK 500GB processor 1.6 Hz system type 64-Bit operating system kama unaitaji ni D.M
  11. Sucre255

    Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    aliyepata joining instruction ya muhimbili diploma naomba aitume
  12. Sucre255

    Diploma in Diagnostic Radiography

    Kama kichwa kisemavo hapo juu nimechaguliwa muhimbili ..... naomba kuuliza hi kozi nikisoma diploma ajira zake zipo na nikitaka kuendelea degree nasoma coarse gani degree?
  13. Sucre255

    Kati ya hizi kozi, ni ipi nzuri zaidi?

    Ipi unayoipenda Kati ya hizo tatu ?
  14. Sucre255

    kutengeneza tecno phantom 6

    screen yangu imearibika ilianguka.. kubadilisha screen pamoja na matengenezo inaweza kuwa shilingi ngapi kwa anayejua?????
Back
Top Bottom