Mwalimu Mpwayungu acha kuwasumbukia walimu wenzako hawawezi kubadilika. Ona hata wewe ulivyoshindwa kuacha tabia ya kufatilia maisha ya watu wengine. Wewe cha kufanya piga mishe zako ukiwa free mda wa kupiga kazi jipake chaki kisawasawa. Hizo tabia zenu za kufatiliana hamtoziacha. Kingine...
Binadamu hakuwa nyani na hatokua nyani. Theory ya Evolution of man inaelezea kuwa jamii ya PRIMATES ilijumuisha species za gorillas, monkeys, chimpanzees and man himself. Binadamu aliishi mazingira waliyoishi nyani, sokwe, tumbling, ngedele na jamii kama hizo. Kilichokuja kumtofautisha na jamii...
Unaadhibu dhambi kwa kufanya dhambi? Omba rehema kwa Mungu unafanya dhambi ya uasherati kwa kisingizio cha kuletewa mtoto wa nje. Hapo kwa haraka umetenda dhambi ya chuki Kwa mtoto na baba yake, umelipa kisasi na bado unazini na bado una hasira. Tubu Mungu ni mwenye rehema usishupaze shingo bado...
Kweli hilo hata mimi nimeshalipitia Hali si nzuri sana baada ya kujichanganya Kwa wanawake tofauti. Mwanamke wa mwisho aliniambia ana jini mahaba lililokua linammiliki na akasema yupo kwa mganga kutibiwa.
Mwanamke Yule alijariwa sura na umbo matata lakini baada ya kuwa naye kwenye mahusiano...
Kuwa mtu wa Ibada. Mpende Mungu na umtafute Kwa bidii na Kwa akili yako yote. Ifike mahala kabla hujaamua kufanya huo mchezo upate majuto moyoni na si majuto yaje baada ya kumaliza. Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kujiamini huanzia akilini, ni kweli unajiona mkosaji lakini tambua kukosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.