Recent content by SUBUYAH

  1. S

    Udom,laptop za kuuza kwa mwaka wa kwanza

    yangu laki 6 nipo social , ni HP Elitebook toleo la 2009
  2. S

    Hili linamaanisha nini apa udom

    nyie first mbna mnaanza upumbavu mapema hvyo
  3. S

    Msaada kuhama chuo

    nimeelewa Mzee nisamehe !
  4. S

    Msaada kuhama chuo

    mkuu pole sana bt me nmefanikiwa ! wamenipeleka udom -law
  5. S

    Msaada kuhama chuo

    thnx pia kwa kuonekana umecomment :spy::bange::majani7:
  6. S

    Msaada kuhama chuo

    thnx mkuu ! nlifnya kwenda tcu n thnx God nmehamishiwa UDOM(law) wamenipa na mzigo wakutosha(booom)
  7. S

    Kwa wale wa udom mwenye kujua hili naomba msaada

    jamani naombeni mnisaidie kwa hili : nlikua nmechaguliwa tumaini dar(law) bt nkaomba transfer tcu nikawa nmehamishiwa UDOM(law) lakini tatizo ni kwamba nnapojaribu kudownload form zao inaandkia "password and user name dont match or you dont hav an account yet".. sio kwamba nakosea taratibu NO...
  8. S

    Jamani hawa TCU wanatoa lini majina ya waloomba kuhamishwa chuo???

    sjaelewa case yako iko vp bt kwangu binafs nlikuwa nmechaguliwa tumaini Dar (Law) bt cost dizain kama zkawazinanishinda ndo nikaandka barua tcu kuomba kuhama bt ilikuwa kabla ya loan board kutoa majna yao(sielewi kwako vipi). na loan board walipotoa majna skuliona jina langu tumaini (nilitaka...
  9. S

    Jamani hawa TCU wanatoa lini majina ya waloomba kuhamishwa chuo???

    kama umeweza kuingia jamiiF then umeshndwa kuingia web ya tcu nahisi unamatatizo! majina yametoka siku 2 baada ya loan board kutoa yao ! muwe mnafatilia sio kla kitu kutafuniwa ! me mwenywe nmehamia udom na mzigo wangu (booom) upo huko! fungua site yao then click selected applicants 4 2012/2013...
  10. S

    Kuhusu kuchaguliwa udom

    Hubert Kailuki memorial university ni chuo namba mbili kwa ubora nyuma ya udsm kwa miaka 4 mfululizo sasa na pia mwaka 2001 chenyewe na UDSM viliingia ktk orodha ya vyuo 100 bora Africa,,na NI chuo bora tanzania kwa upande wa medicine kikifuatiwa na Muhimbili.MWENYE UELEWA NA HILI ATANIUNGA...
  11. S

    Msaada kuhama chuo

    wadau nlikua naomba msaada wa mawazo kuhusu kuhama chuo! nmechaguliwa tumaini dar(law) bt mwenzenu mimi ni mtoto wa mkulima siwez kumudu tution fee ya 2.5 Miln. chuo nahtaji kwenda bt ugumu ndo huo, Naombeni msaada wenu wadau kama inawezekana kuhamia chuo kingine. natanguliza shukurani za dhati
  12. S

    Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    sex can enhance a caring relationship bt it can also do the opposite !take care
Back
Top Bottom