Jamani hawa TCU wanatoa lini majina ya waloomba kuhamishwa chuo???

Safhat

JF-Expert Member
May 19, 2012
270
25
Nishachoka kusubiri hawa tcu mana hawasemi ni lini wana release haya majina.kwa kweli shida 2pu.
Km kuna m2 ana tetesi juu ya jambo hili anijuze.
 
Mbona yameshatoka mkuu! Kuna rafiki angu alpangiwa st joseph akaomba transfer to ardhi kapata! Majina yaliwekwa kwenye web ya chuo(ardhi) !
 
kama umeweza kuingia jamiiF then umeshndwa kuingia web ya tcu nahisi unamatatizo! majina yametoka siku 2 baada ya loan board kutoa yao ! muwe mnafatilia sio kla kitu kutafuniwa ! me mwenywe nmehamia udom na mzigo wangu (booom) upo huko! fungua site yao then click selected applicants 4 2012/2013 admision humo ndo utakuta kuna list kibao na hiyo ikiwemo ! kwa wale wazembe kujiongeza tcu wamewalahsishia wameongeza link nyngine palepale juu imeandikwa Updated list of transfered students 2012.. jaribu kuwa mdadisi ukiona news mpya tcu we angalia hata kama unahisi haikuhusu./...masomo mema n samahan kwa kuwa so harsh
 
tnx mku.nimelióna.
 
Sasa ukishaona jina lako unaandka barua kupeleka bodi ya mikopo au tcu wanayapeleka wao?anaejua plz anisaidie.
 
sjaelewa case yako iko vp bt kwangu binafs nlikuwa nmechaguliwa tumaini Dar (Law) bt cost dizain kama zkawazinanishinda ndo nikaandka barua tcu kuomba kuhama bt ilikuwa kabla ya loan board kutoa majna yao(sielewi kwako vipi). na loan board walipotoa majna skuliona jina langu tumaini (nilitaka kulia nkizan nmekosa Mzigo) bt thnx God nlilikuta jna langu UDOM(law) + Mzigo(boom).na tcu walipotoa majina ya walio hama vyuo na langu lilionekana
 
Back
Top Bottom