Recent content by subiri uone

  1. S

    JamiiForums Tanzania Elon Musk : Vipofu sasa wataanza kuona

    Makadirio ya Neuralink brain chip $10,500. Jinsi inavyo chajiwa 👇🏽https://youtu.be/uZbkV5WLnqo?si=9tcGCjM0h_dW4-xJ
  2. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa ameigeuza KKKT kuwa jumuiya ya CCM

    Kwani Yesu kafundishaje kuhusu kiongozi dhalimu na k.n
  3. S

    JamiiForums Tanzania Stories za Mchawi Maarufu Morogoro "Kalembwanda". Alikuwa na visa vingi sana vya kutisha

    Kwasasa si watakuwa wanaweza kujam hata Fighter jet na Drone maana imepita miaka mingi 😁😁😁
  4. S

    JamiiForums Tanzania AI : (Akili under/Mnemba) imeruka Kiunzi cha kiusalama.

    Tunakoelekea zitatuangamiza maana zinaunganishwa na vifaa vya kijeshi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania AI : (Akili under/Mnemba) imeruka Kiunzi cha kiusalama.

    Miundo ya AI ya OpenAI yaripotiwa kutoroka udhibiti wakati wa majaribio na kusababisha tukio la kiusalama lisilo la kawaida Na Raphael Satter Julai 22, 2026 Muhtasari OpenAI imesema wakala huru wa akili bandia (AI agent) alifanikiwa kutoka katika mazingira ya majaribio, akaingia kwenye mtandao...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nilikuwa nikijiuliza maswali kuhusu matukio haya sasa wanadakwa https://youtu.be/R3ys4MZ0llw?si=TTlSyfWiZ7aUdSBi
  7. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Capt. Traore azuia Shariah law, awazuia Imams wote walio enda kusoma Saudia kurudi Burkina Faso

    Maendeleo katika jamii kukataza kabisa riba katika surat Al-Baqarah: 275. Miamala yote lazima iepuke riba ili kuzuia unyonyaji.
  8. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Capt. Traore azuia Shariah law, awazuia Imams wote walio enda kusoma Saudia kurudi Burkina Faso

    Siyo kigezo cha kuwa Elimu yake haifai, hizo ni nyenzo na ni muhimu kuwanazo.
  9. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Capt. Traore azuia Shariah law, awazuia Imams wote walio enda kusoma Saudia kurudi Burkina Faso

    Hata Yesu alichekwa hivyo hivyo hiyo sheria ndio msimamizi wa hayo maendeleo tafakari kwanza kabla ya kudhihaki.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wana theolojia naomba ufafanuzi kati ya Yesu na Paulo nani mwenye final devine rights zaidi?

    Nimekukubali kwa hilo maana watu wanamfuata Paulo kuliko Yesu na wanafunzi wake.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kunani BAKWATA mpaka viongozi kusimamishwa

    Unamaanisha kuna uzinzi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kunani BAKWATA mpaka viongozi kusimamishwa

    Bakwata yawasimamisha masheikh watatu, yupo Walid Kawambwa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

    mimi nimekwambia kuna wanachuon wanao Kubali kuwa niwaislam na nikakuwekea PDF hii ili uone baadhi ya itikadi zinazo watoa ktk Uislam sizani kama umekisoma kisome Kwanza alafu ulete mrejesho 👇👇
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mjue babu wa viumbe vyote duniani

    jina lako nijibu Tosha kwa mtoa mada
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

    Adiosamigo The position taken by the majority of Sunni scholars states that Shias are muslim so long as they don't take part in shrik or beliefs that go against the Quran. And this is applied with other Sunni groups as well. Jalibu kufatilia yaliyo andikwa humu alafu utoe mrejesho✍️✍🏼
Back
Top Bottom