Sawa hao wote ndio voingoz bora sababu walikua mstari wambele katika kuandamana na ndio sifa yakiongoz bora akisema jambo mwenyewe ndio mtekerezaj namba moja sasa wew uambie tuka andamane alafu aliokupa taarifa yuko kwao na familia yake uoni km kuna kutoana chambo ""BADALA YA KIONGOZI KUJITOA...
saiz n wakati ambao kunahitajika plan nyingine na sio maandamano tena kwasababu km kuandamana tushaa andamana sana pasipo kuona mafanikio chanya zaidi ya kuzid kupoteza ndugu zetu kila siku alafu kinachoumiza zaid ni pale tunapo poteza wasio na hatia kabisa .km kwel tumeguswa na hii hali iliyopo...
Kw wale walio pitia mashulen nadhan wanaelewa kuhusu kitu migomo hata km ikiwa unadai haki basi kuna njia sahihi ya kuipata haki yako .so naomba nikuulze mtoa uzi wew km mzazi mwanao akifukuzwa shule kwa kushirik mgomo ambao haukuwa wa razima yey kushiri utamlaum mwalim kwa kumfukuza mwanao...
Km mbowe asingeitisha maandamano basi ata akwelina maskin asinge pigwa risasi.so mbowe ndio catalyst wa mambo yote haya so tusilaum reaction tumlaum muanzilishi
Unajua sitaki kukupnga coz najua nawe umskia na ukaleta uzi km ulvo pasipo kuchanganua . 1g per kilo of ore namaan tan moja ya ore inatoa 1 kg ya gold . n b4 walkua wanazlsha 1.35 kw 1kg ya mchanga inamaana tan moja ilkua na zalsha 1.35kg ya gold .na imepungua kw kw 0.35 k2 bacho katka uzalshaj...
km kichwa cha habari kinavo jieleza kw mtu anaejua au anaweza nisaida serious naomba anifate pm .sababu za kutaka kazi hii na kw sababu naipenda hii kaz sana na mzarendo wa inchi yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.