Uwo ni uzushi na kutokuwa na taarifa sahihi kwa huyo Slaa. Kama ingekuwa kuelekezwa ulaya kusingekuwa na haja ya mabomba kwa sababu mtwara kuna bandari ambapo zingekuja meli zenye facilities za ku-compress na kubeba gesi. Kwa hili nadhani kapotoka.
Tatizo hapa wanaangalia figure lakini kiukweli per km Tz wapo chini. Mpakani hadi Dar ni zaidi ya km 1200 hivyo kwa $500 wanyarwanda walikuwa wanalipa $0.42/km na wakati kutoka mpakani hadi Kigali ni takribani km 150 hivyo hata kwa $152 watz wanalipa $0.98/km
Siyo kula matoke ama kichuri tu. Nchi yetu ni kubwa na sasa anategemea mtu asafiri zaidi masaa manne bila kujisaidia? Alichotakiwa ni kuweka points za kujisaidia kati ya vituo vikubwa alafu ndiyo apige marufuku. Awa viongozi wanakurupuka kufuraisha watu tu.
Mtu kateuliwa mnasema kaula. Akila rushwa au kuiba mnalalamika. Ataulaje bila kuiba ama kula rushwa? Nadhani ilitakiwa kumuonea huruma kwani kuna matatizo mengi (siyo changamoto) anayoenda kupambana nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.