Ndo mana nilisema pale juu, "wazazi wake wanamjua na kumpenda mtoto wao vizuri zaidi ya mtu yoyote yule" sometimes tunakurupuka ku judge familia za watu kimakosa...
Mtoto mwenye nia ya kufanya biashara utaona jitihada zake mapema tu, kisha msaada unakuwa ni kum boost tu...
Wengi wanaosema...
Juzikati nlishawishika kuweka hii American tinted na kuitoa ya zamani, doooh!
Ni balaa, ilivyofika usiku sio taabu tu, ni balaa na hatari sana,
Nimelazimika kukata sehemu za Side mirrors ili niweze kuona vyema nyuma, maana kusema ukweli ikifika usiku uoni unakuwa hafifu mnoooo na kwa barabara...
Pole aisee, lakini pia, ungeweza baada ya kuvuka daraja la kwanza namkuikuta round about, ungefuata uelekeo wa njia inayokuja tokea barabara kubwa, lakini kabla hujaifikia round about kubwa ya zamani ungeona barabara inayoshuka upande wa kushoto ambayo inaenda kupita chini ya daraja (la barabara...
Hahahaaaaaaaaaa, daaaah, umenichekesha sana aisee,
Anyway ndo njia yangu everyday, na nimebahatika kushuhudia mabadiliko yooooote yanavyotokea, ila kuna siku nilijisemea Hizi njia kama mtu hajapita loooong time lazima aipate fresh !
Pole aisee
Ishu ya kusajili laini zenye majina tofauti, ati hadi upate kiapo toka mahakamani!
That's totally awkward!
Na kwanini mitandao mingine hawaku stress huo upuuzi!
Voda tu ndo wamekomalia ile mbaya,
Kusema kweli yawezekana hiyo kitu imefanya walio wengi wakazitupa kando laini tata kama hizo na...
Talk to her plain truth of what you have discovered, if she's not willing to give up on the guy, or you notice she's not telling you the truth,
Jus let her go!, imho
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.