Recent content by stunner_g

  1. stunner_g

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    sina sababu za kitaalamu zaidi, ila ninachojua hakukua na haja ya Tra na Bandari kuwa na systems tofauti.Bakhresa anakosa lazima ahakikishe mzigo unaotoka umefuata taratibu zote,wapigaji hutoa makontena usiku.maafisa wa Tra na Bandar walioko zamu wakiwa majumban.
  2. stunner_g

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    cku kabla ya hiyo alifanya mikutano 7.nashangaa sn ushabiki unavyotutoa akili. Tuanze na la ugonjwa. unaweza fanya safari za wiki 2 mfululizo kw ss tunaoitwa wazima? mim nikisafiri toka Mwanza to Dar nalala siku inayofuata tena nakuw mchovu.huyu anae ongea kila siku inakuaje?? kuhusu kulala...
  3. stunner_g

    Wizkid In Dar: Fursa kwa wasanii wa Bongo

    wiz kid ndio msanii mbabe kimuziki afrika: nyimbo kali ila video za kawaida ilaa hapati tuzo..sababu tuzo za siku hizi hutolewa na vituo vya televishen hivyo hujikita kwenye videos na si uzuri wa nyimbo na mashairi.ojuelegba!!!!!!!!! napia ni msanii anayefanya kazi na mastaa wakubwa na nyimbo...
  4. stunner_g

    Hivi haiwezekani kuchimba mfereji kutoka Bahari ya Hindi hadi bwawa la Mtera au Kidatu?

    VYANZO VIKUBWA VYA UMEME DUNIANI NI MAPOROMOKO YA MAJI: Na TANZANIA TUNA MAPOROMOKO HAYO MAKUBWA YA MAJI NA HATUJAWAHI KUWEKA MASHINE KWA KUHOFIA GHARAMA KUZIDI UWEZO WA NCHI,MAPOROMOKO YANATOSHA PEKEE KUZALISHA UMEME WA NDANI NA NNJE KIBIASHARA.BONDE LA MTO RUFIJI NA KAGERA. Bonde hili maana...
  5. stunner_g

    Baadhi ya wadada wanapenda kuangalia dereva wanaepishana nae

    kama una sura kam yule kiongoz anayetokea mkoa w mara lazima uangaliwe hata bila gar..😁😁😁
  6. stunner_g

    CHADEMA wanashangilia ushindi. CCM wanatafuta kura

    Lowassa na wengineo wanajua hesabu vizur ashaona matokeo kw macho yake anasubiri ushindi wa karatas.pia magufur nae kaona,wote wamezunguka. sis tutatetea vyama vyetu ila wao wanaujua ukweli na nani ni pump kuliko mwingine, wanajua wapi hawakubaliki na wapi wanakubalika wanahesabu kali sio km za...
  7. stunner_g

    Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

    sasa tutapiga kura za nini kama hawez kushinda??
  8. stunner_g

    Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

    siasa zimeharibu timing xa wanamuziki bila kujua wanaingiza kidogo na kupoteza kikubwa Jst imagine Lowassa akishika nchi kw wanaomtukana hadharan na kufanya kampen against itakuaje??
  9. stunner_g

    Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

    wat the tact cutie
  10. stunner_g

    Dar es Salaam: TAZARA and Ubungo flyovers - Construction starts November 2015

    kawaida yetu tupo kama kuku tunasahau tulipotoka kabisa, mradi wa treni ya kasi mbwembwe picha za mikataba ikisainiwa.kigamboni project,Tazara ubungo flyover. na hatufikirii kabisa mirad mingi husainiw kwny kampeni, sasa hivi ndio mawe ya msingi huwekwa na ahadi kem kem.kwenye kila nyanja this...
  11. stunner_g

    Acheni maisha ya sinema, foleni ya kuolewa ni ndefu sana

    wk end imeanza na wigi!!! 😁😁😁😁😁😁😁😁 nisicheke sn nikiulizwa nacheka nn nitashindwa elezea milio ya fuso.
  12. stunner_g

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    kiukweli,ajar ya ndege si kama za magar na sidhan km watakua hai tena,zinaruka juu sana na zikianguka mara nyingi huripuka.kuhusu huduma ya kwnza sio wote wenye taaluma hizo nchini,na zinahitaj vifaa vya kisasa mfano kukata mabati na nk.ccm isilaumiwe kwny hili ile ni ajali na ukweli mnaujua...
  13. stunner_g

    Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    muumize kw kufanya maendeleo tafuta pesa sana,utapata dem mkali na umpende lowassa!! tukutane shule mwakan no school fees😁😁😁
  14. stunner_g

    Magufuli sasa ni kuapishwa tu

    hao watu mnazunguka nao sijui mnawatoa wap na sare zenu.leo magufur alikuw moshi bar ni hatar hizo uda zimeleta watu cjui wanatka wap bas kama 20
Back
Top Bottom