Recent content by strugglist-2015

  1. S

    Kutoka nguo za kijani hadi nguo nyeusi

    katika pitapita zangu maeneo karibu na bungeni Dodoma nimekuta kikundi cha wazee akisikitika kuhusu vijana wa chama cha mapinduzi kuacha kuvaa kijani na kupendelea kuvaa nguo nyeusi zenye bendera ya taifa kwa mbele , mzee mmoja akauliza je nikuonesha uzaledo ama wanajindaa kwa msiba mkubwa wa...
  2. S

    Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    Apolinary mbona unajtushi mwenyewe ,nyerere alisema aweziacha nchi ikaongozwa na mbwa ila haohao mbwa aliwakata leo hii ndio viogoz wa nchi.
  3. S

    Nimeamini kuwa CHADEMA wanaipenda Sana TBC

    no reasearch no right to speak ukalala kwani ATM machne za lumumba zlikaushwa na uchaguz wa kalenga na chalize
  4. S

    Nimeamini kuwa CHADEMA wanaipenda Sana TBC

    no reasearch no right to speak ukalala kwani ATM machne za lumumba zlikausha na uchaguz wa kalenga na chalize
  5. S

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    aliyekuambia watanzania wanakula barabara nan?alafu tambua kuwa uchumi wa nch haupimwi kwa wing wa barabara ila kwa G.D.P
  6. S

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    nilijua mapema with CCM hakuna katiba mpya mbali ilikua changa la macho
  7. S

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    sijue ngoja nisubiri amalize kutudanganya alafu nitakujibu
  8. S

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    sijue ngoja nisubiri amalize kutudanganya alafu nitakujibu
  9. S

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    eti kituo cha kupigia kura ni nyumba ya tembe kweli kijan njano yajenga nchi
  10. S

    Pigo la mwaka,Mwigulu aibomoa CHADEMA,mbunge wake na madiwani wawili kutimkia CCM!!

    never and ever kutokea we endelea kutoa promo mpaka 2015 utalonga sana
  11. S

    Mangula na Kinana mmejidhalilisha

    vp kuhusu shekh abdallah aka richmond 1
  12. S

    Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

    kama anatamaini tanzania kuwa misri ajaribu kufuta chama upinzani labda wakifute cck na chauma
  13. S

    Mwingulu nchemba huu ndio ukweli.ambia taifa ukweli

    amezoea kutudanganya mara kwa mara ,aje ajibu si kuzunguka tu musa tesha kuhubiri maovu ya chama chake
  14. S

    Mwingulu nchemba huu ndio ukweli.ambia taifa ukweli

    Hivi nchemba unakumbuka miaka ya 1980's Dr slaa alikua mwanachama c c m na alikihama miaka ya tisini baada ya kuenguliwa kuwania nafasi ya ubunge karatu.kitendo cha dr slaa kujiunga upinzan kirimkera sana mwalmu nyerere nukuu akihutumbia c c m 1995''kitendo cha kumuacha huyo kijana (dr...
Back
Top Bottom